Recent content by palesa26

  1. palesa26

    Nimemsomesha, nimegharamika, leo kaniacha anaolewa na mtu mwingine

    Ni Dar es salaam mkuu. Ila kwao ndio mkoani huku
  2. palesa26

    Nimemsomesha, nimegharamika, leo kaniacha anaolewa na mtu mwingine

    Wakuu asanteni sana kwa maoni na ushauri wenu... nazidi kusoma na ninaamini nitaendelea kujifunza mengi kutoka kwenu
  3. palesa26

    Nimemsomesha, nimegharamika, leo kaniacha anaolewa na mtu mwingine

    Ni kweli kabisa dada.ile ilikua mistake kubwa kubwa sana. Nawaza hizo pesa ningetoa hata msaada kwa watoto yatima au ndugu zangu wenye shida. Najuta najuta sana
  4. palesa26

    Nimemsomesha, nimegharamika, leo kaniacha anaolewa na mtu mwingine

    Tatizo wanaonyesha kiburi hata mahakamani hawakanyagi. Na barua walipelekewa.Kusamehe nashindwa mkuu wangu. Asante pia
  5. palesa26

    Nimemsomesha, nimegharamika, leo kaniacha anaolewa na mtu mwingine

    Nikimbilie wapi mkuu kuachana na hii kesi ama?na wewe ilikutokea kama iliyotokea kwangu.
  6. palesa26

    Nimemsomesha, nimegharamika, leo kaniacha anaolewa na mtu mwingine

    Sikujua laiti ningejua, najuta. Wakuu nilikutana na huyu binti miaka kadhaa iliyopita mimi nikiwa nimepangiwa kazi mkoa fulani katika mihangaiko yangu nikakutana na huyu binti nilitokea kumpenda, mzuri kisura na kitabia very innocent niliamini kwake nimefika baada ya kash kash nilizopitia...
  7. palesa26

    Nisaidieni namna ya kukwepa hii aibu wakuu

    si umueleze ukweli kuna unasumbuliwa na tumbo la kuhara
  8. palesa26

    Serikali imesitisha ajira zote na nyongeza za mishahara nchini

    Mimi imenichosha kimbele mbele cha kuimba wataisoma namba nikajua ni Lowasa ndio ataisoma kumbe ni mimi na wanafamilia hapa
  9. palesa26

    Wanaume wa Marekani mna nini?

    Yaani mi wangu yuko nje ila hadi nadata muda mwingine yeye muda wote kazi.... saa nyingine nakasirika... saa nyingine naona sawa...najizoelea huwa ananielezea maisha ya huko ila acha tu halafu time difference ndio hatari nikiwa free yeye masaa ya kulala.. akiwa free niko kibaruani.
  10. palesa26

    Wimbi la watoto wanaokataliwa na baba zao limeongezeka

    Wanavyokua wanatiana sijui huwa wanadhani nini mwishoni hutokea. Shout out to all single mothers out there ambao despite ya wanaume kukimbia majukum wameweza na wanaendelea kutunza watoto wao.
  11. palesa26

    Watumia vileo tukutane hapa

    Mengi yapi shosti angu...:-)
  12. palesa26

    Watumia vileo tukutane hapa

    Acheni ulevi vijana
  13. palesa26

    Siwezi kumsamehe muongo

    We huwa hudanganyi
  14. palesa26

    Tetesi: Wastara kuolewa baada ya Ramadhani, huwezi kuamini nani anamuoa

    eti ana mimba.... sijui ndio ya huyo anaeolewa nae
Back
Top Bottom