Nimemsomesha, nimegharamika, leo kaniacha anaolewa na mtu mwingine

Bahati mbaya Nimechelewa kujua
1468783824139.jpg
 
Hapo chakufanya nikuchukua pesa zako ndio muhimu ila nakushauri pesa zako mwenyewe zinaweza zikakutengenezea kaburi nadhani azifiki millioni sita achana nazo.Mimi nilipitia katika mapito kama hayo napesa yangu 50milioni nikasamehe kwasababu ilitaka kuniua nikamuachia MUNGU MKUU kimbia malipo hapa hapa duniani

Nikimbilie wapi mkuu kuachana na hii kesi ama?na wewe ilikutokea kama iliyotokea kwangu.
 
Umejidhalilisha zaidi kupeleka shtaka mahakamani. Nashauri kaa kimya. Usimtafute mama yake wala yeye wala ndugu yake.

Unajua Mungu siku zote hakosei. Huyo mwanamke pengine angakuja kuwa tanzi kwako na kukupotezea maisha kabisa. Mshukuru Mungu kuwa kuna kitu amekuepushia huko mbeleni badala ya kulaumu.

Kaa kimya, kama ni mtu wa maombi fanya maombi sana, soma sana neno la Mungu ili Roho wa Mungu akutawale. Najua kipindi kama hiki ndo kipindi ambacho ibilisi huvizia na kumvaa mtu vizuri na unaweza kufanya jambo ambalo utalijutia maisha yako yote. Ukiwa mwenyewe fanya maombi sana na kusoma neno la Mungu usiruhusu nafasi hata kidogo ya ibilisi kuingia ndani yako.

Ukimya wako ndo utamuumiza sana yeye binafsi na familia yake. Ila ukilipiza kisasi tu ndo utakuwa umeharibu kabisa. Mwache aendelee na maisha yake braza. Mbona wanawake wamejaa teleee:(

Mungu atakulipia yeye mwenyewe na hutaamini kuna siku atakukumbuka tena sana tu na itakuwa too late kuurudisha moyo wako. Jikungute songa mbele boss. Mwanaume wa ukweli hakati tamaaa kirahisi so far una nguvu, u mzima, hajakunyanganya akili yako, maisha yanasonga tuu. Kwani ulizaliwa naye? Mmekutana tu ukubwani.

ONYO: ACHANA NA TABIA KUSOMESHA MWANAMKE ATI AWE MKEO. KAMA UNAMSOMESHA MSAIDIE TU KAMA MSAMARIA MWEMA ILA ACHANA NA MAWAZO YA KUTAKE ADVANTAGE YA KUOA.KAMA ITATOKEA MBELE YA SAFARI POA; ISIPOTOKEA POA!!
 
mwanamke hasomeshwi boss kama kesi umeshaipeleka mahakamani cha msingi fuatilia mpaka haki yako uipate ili liwe funzo kwake na familia yake na ikitokea anajirudi tena ujue kashindwa kukulipa huyo hapo chuki itawale ILA PIGA MOYO KONDE SAHEME ENDELEA NA MAISHA YAKO

Tatizo wanaonyesha kiburi hata mahakamani hawakanyagi. Na barua walipelekewa.Kusamehe nashindwa mkuu wangu.

Asante pia
 
MCHUMBA HASOMESHWI... MCHUMBA HASOMESHWI... MCHUMBA HASOMESHWI.
Wanawake wana akili Kama za kuku, hata ungemkuta akiwa analala chumba kimoja cha mbavu za mbwa na kaka zake watano, ukamwonea huruma, ukampenda na kumtoa kwa kumpeleka shule, likijitokeza jamaa linajua kuimbisha anasahau mema yako yote. Kama unaamua kusomesha aende akiwa na mimba kabisa au akiwa ameshazaa.
 
Hahahahahah mkuu pole sanaaa...Hivi visa vimezidi sasa, tofauti yake ni staili ya mtu kulizwa tu ila so far inabidi tuanzishe somo elekezi kama ilivyo huduma ya kwanza!
Wanaume wenzetu wanazidi angamia kwa kukosa ujanja aisee...Mchumba asomeshwi jamani, for the better ni bora ungempiga mimba tu angekuwa hana jeuri hio ya kukimbia!
 
MCHUMBA HASOMESHWI... MCHUMBA HASOMESHWI... MCHUMBA HASOMESHWI.
Wanawake wana akili Kama za kuku, hata ungemkuta akiwa analala chumba kimoja cha mbavu za mbwa na kaka zake watano, ukamwonea huruma, ukampenda na kumtoa kwa kumpeleka shule, likijitokeza jamaa linajua kuimbisha anasahau mema yako yote. Kama unaamua kusomesha aende akiwa na mimba kabisa au akiwa ameshazaa.
Kumpa mimba au kumzalisha is not a solution, jamaa yangu aliachwa asubuhi saa kumi na mbili....!!

Demu kamusomesha,mwaka wa pili akamchapa mimba,demu kazaa,mwaka wa tatu wakafunga ndoa,demu karudi chuo last semester,yakaanza manyau nyau,mchizi kapigwa chini,Mtoto kapewa,demu kaolewa na jamaa mwingine...

Jamaa alikonda sana,msongo wa mawazo ukawa unamkondesha balaa,akahama na kanisa,kutoka Roman Catholic hadi now anasali kwa Kakobe....
 
Fanya kama ulitoa sadaka then move on.Vibginevyo utapatamatatizo ya akili hasa ukitegemea hakuna mahali mlipoandikishana kuwa unamsomesha alafu anakuwa mke.8
 
Umenikumbusha nyimbo ya msanii wa enzi hizo kenya inaitwa STELLA..jamaa aliuza mali zake ili mchumbake bi Stella aende japan kusomea udaktar..bidada kurudi anamtoto na mchumbake wa kijapan anakwambia "nilitaman kulia kijaluo lakini sikijui,ikanibidi nilie kitaita lugha ya baba na mama yeshelei heeh.INAUMZA..Jaman mchumba asomeshwi labda Mungu akukamatie tu
 
Back
Top Bottom