Nisaidieni namna ya kukwepa hii aibu wakuu

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
11,877
15,444
Wakuu, kwa mara ya kwanza toka nijue kulala na wanawake,leo nimepatikana, kuna manzi kanifanyia suprise hapa kwangu leo, na obvious atalala hapa kwangu na tutalala naye kitanda kimoja.

Tatizo langu ni kwamba, kiukweli leo siko fresh kiafya, naumwa tumbo wakuu na ninaharisha hatari.

Huyu manzi sijamwambia majanga niliyonayo bado, nimejidunga mafrajili hapa lakini naona ngoma bado imekaza, sasa hofu yangu ni usiku tukiwa tumelala tumbo likinishika nikitaka kuingia toilet nitafanyaje, ikumbukwe toilet ni hizi za ndani kwa ndani.

Nitumie ujanja gani huyu manzi asijue kuwa naharisha wakuu?
 
Wakuu,kwa mara ya kwanza toka nijue kulala na wanawake,leo nimepatikana,kuna manzi kanifanyia suprise hapa kwangu leo,na obvious atalala hapa kwangu,na tutalala nae kitanda kimoja.tatizo langu ni kwamba, kiukweli leo siko fresh kiafya, naumwa tumbo wakuu na ninaharisha hatari.huyu manzi sijamwambia majanga niliyonayo bado,nimejidunga mafrajili hapa lakini naona ngoma bado imekaza,sasa hofu yangu ni usiku tukiwa tumelala tumbo likinishika nikitaka kuingia toilet ntafanyaje,ikumbukwe toilet ni hzi za ndani kwa ndani.nitumie ujanja gani huyu manzi asijue kuwa naharisha wakuu?

Kwani mkuu ukienda toilet huwezi kupiga kimya kimya? Au unaendesha..?

Ila usijali sana...we jiachie tu na mengine atajaza mwenyewe.

Kwani yeye huwa haharishi?
 
Mwambie unaharisha. Atakua aware na kinachoendelea..... Mwambie kabla usiku haujawa mwigi
 
wabeba box wana terms za kibabe kweli kweli,

sie wala vumbi hata ''kumpiga mtu kipepsi" hatujui kwa kiingereza.

USA baby
upload_2016-7-13_13-32-9.png
upload_2016-7-13_13-32-12.png
upload_2016-7-13_13-32-13.png
.
 
Ukifika choon flash Mara kwa Mara usisubir umalize kuendesha itasaidia kupunguza harufu

ILA shida nipale utakapo enda Mara 3-4 lazima atashtuka mwambie tuu
 
Back
Top Bottom