Recent content by Paka Mbwa Nyau

  1. P

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu kupotea kwa 'Submarine' ya Titan

    0.3m=1foot, ,hesabu hazifungi,unge 0.3m=1 foot..
  2. P

    JamiiForums Tanzania Nani yupo Nyuma ya Wanahabari kwenye Sakata la Bandari? Au ni 'Uzalendo wao'?

    Generation hii Ni wapumbavu na wajinga ukilinganisha na Generations za nyuma,especially ktk uzalendo!tumeuzwa!!na wapo wanaotetea uuzwaji wao!ridiculous
  3. P

    JamiiForums Tanzania Korea Kusini: Bi Park geun-hye alifungwa jela kwa kulihujumu Taifa lake

    North Korea,China ,Cuba wote Wana sera za ujamaa wamefanikiwa..suala ni Katiba yetu,ujamaa hauruhusu mafisadi waishi uraiani,wanakiwa watangulie kuzimu
  4. P

    JamiiForums Tanzania Orodha ya wasanii bora wa kisukuma wa siku zote

    We wajuzi..Kuna Ng'wanakanundo na Idelelyashimba hao ndo walikua balaa
  5. P

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 1-0 Ihefu FC | Ligi Kuu Bara | Stade de Benjamin Mkapa 12/11/2022

    Wachezaji wa viwongo vya chini, kacheze na man u afu upaki basi,utafungwa tu
  6. P

    JamiiForums Tanzania Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

    We umeshindwa kuelewa mwenzake aliondoka akiumwa?mpiga simu ilitaja Bugando hospital lazima aliunganisha dots tu!
  7. P

    JamiiForums Tanzania Hattrick ⚽⚽⚽, Haji Manara aongeza mke wa tatu

    Haji asubiri kupigwa tukio Kama sio matukio...ni swala la mda tu,kuoa kunahitaji evaluation and analysis!
  8. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta patana kwanza na makamu wako ndio usuluhishe migogoro ya DRC

    Hivi mtu keshasema Ruto alipanga kumpindua ,kumbuka ni Raisi anataarifa nyingi Sana, utataka suluhu na mtu huyo?JK na Lowasa haziivi mpaka Leo ingawa walikua marafiki,siasa haziitaji unachotaka wewe
  9. P

    JamiiForums Tanzania CAF Wanaipenda sana Simba

    Cuf ya Profesa Lipumba?
Back
Top Bottom