Recent content by Pagejawapageja

  1. Pagejawapageja

    JamiiForums Tanzania Wale wapenzi wa Perfume/Body Spray, tukutane hapa

    Mambo VP ..ni body spray gani nzuri kwa wanaume naomba ushauri wakuu.
  2. Pagejawapageja

    JamiiForums Tanzania Wale wapenzi wa Perfume/Body Spray, tukutane hapa

    Mambo VP ..ni body spray gani nzuri kwa wanaume naomba ushauri wakuu.
  3. Pagejawapageja

    JamiiForums Tanzania Msaada: Body spray gani ni nzuri kwa mwanaume?

    Wakuu habari zenu Naomba ushauri ni body spray gani nzuri kwa mwanaume. Ahsanteni.
  4. Pagejawapageja

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua jinsi ya kuingia 'ku login' kwenye tovuti ya TRA ili kushiriki minada

    Hata mim siwa elewi kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Pagejawapageja

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua jinsi ya kuingia 'ku login' kwenye tovuti ya TRA ili kushiriki minada

    Aah yani hapa mkuu nashindwa nifanyeje mana nimekesho toka asubuh sioni kitu.hata bidhaa zenyewe sizioni. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Pagejawapageja

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua jinsi ya kuingia 'ku login' kwenye tovuti ya TRA ili kushiriki minada

    Nimeshafanya registration lakin nikilog in inasema invalid user. Nahapo nimetumia password ile ile sijakosea pia na email ipo sawa, naombeni msaada wadau. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Pagejawapageja

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Jinsi ya kuingia 'Ku login' kwenye tovuti ya TRA ili kushiriki minada

    Naomba msaada mim njmeshamaliza kujirejista lakin niki log in inasema invalid user ..wakat nimetumia password na email ni ile ile. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Pagejawapageja

    JamiiForums Tanzania MSAADA

    Mambo VP wadau..naomba ushauri ni sehem gani nzur hapa Arusha nawezapata matofali imara za block zakujengea nyumba yakuishi ..msaada tafadhari..ahsanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Pagejawapageja

    JamiiForums Tanzania Askofu Kakobe aweka wazi hujuma anazofanyiwa na TRA baada ya kumkuta hana kosa la kukwepa kodi

    Mmh mshkaji una CP sio kwakilindogo hivyo
  10. Pagejawapageja

    JamiiForums Tanzania Nilichomoa, nikavaa suruali, nikaweka shati begani nikaondoka bila hata kuaga. Alinitafuta week nzima..

    Wew mkuu acha story zakwenye kahawa aisee.. Maumbile yakike kuwa makubwa siokwasababu yakutoa mimba..au kutembea nawanaume tofaut..acha kudanganya wasomi mkuu
  11. Pagejawapageja

    JamiiForums Tanzania Msaada anayeijua kampuni ya bima BRITAM

    Naomba kama kuna mtu anafaham hii kampuni ya BIMA inaitwa BRITAM.. Je!nikampuni ambayo sio longo longo wakuu..nataka nifungue bima ya gar..msaada wakuu
  12. Pagejawapageja

    JamiiForums Tanzania Kampuni/shirika gani zuri la kwa ajili ya bima ya gari?

    Mkuu nakushujuru sn kwamsaadawako ngoja kesho niwatembelee kk
  13. Pagejawapageja

    JamiiForums Tanzania Kampuni/shirika gani zuri la kwa ajili ya bima ya gari?

    Mim nimeagiza gari aina ya harrier old model 2001..nataka niweke bima ya gari ..je shirika lipi la bima ambalo halina longo longo wakuu..natanguliza shukrani
  14. Pagejawapageja

    JamiiForums Tanzania Sheria 13 za mpira wakati tukiwa watoto

    Nimecheka sn aisee.. Jamaa kanikumbusha mbali sn
Back
Top Bottom