Naomba kujua jinsi ya kuingia 'ku login' kwenye tovuti ya TRA ili kushiriki minada

Nimeshafanya registration lakin nikilog in inasema invalid user. Nahapo nimetumia password ile ile sijakosea pia na email ipo sawa, naombeni msaada wadau.

Sent using Jamii Forums mobile app
haja jamaa wamenisababisha nikeshe kusubiri mnada walitangaza utaanza saa sita usiku, kuna kasubaru nilikuwa nakatamani, yaani hadi asubuhi cheche, kila nikiingia naambiwa no result found,
 
haja jamaa wamenisababisha nikeshe kusubiri mnada walitangaza utaanza saa sita usiku, kuna kasubaru nilikuwa nakatamani, yaani hadi asubuhi cheche, kila nikiingia naambiwa no result found,

Badilisha Mwaka ondoa 2020 iliyopo weka 2019 utakutana na Magari, containers na bidhaa zingine.
 
Attachments

  • Screenshot_20200103-185453.png
    Screenshot_20200103-185453.png
    47.9 KB · Views: 3
  • Screenshot_20200103-185511.png
    Screenshot_20200103-185511.png
    70.9 KB · Views: 2
  • Screenshot_20200103-185556.png
    Screenshot_20200103-185556.png
    76.6 KB · Views: 2
Back
Top Bottom