Recent content by Paddy

  1. Paddy

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbeya ni jiji? My Detailed Explanation

    Hujaitaja Mbeya Zonal Referral Hospital, haujataja ubize wa Songwe Airport, idadi ya mabus yanayoingia na kutoka Mbeya daily, haujaongelea satelite towns za Uyole na Mbalizi (japo sio sehemu ya jiji). Watu watakuja kushangazwa huko mbele. Mbeya is so big!!
  2. Paddy

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbeya ni jiji? My Detailed Explanation

    Ukweli mtupu. Mbeya ni jiji kubwa sana Tanzania na huenda likaja kuwa number 2 Tanzania kwa kila kitu. Sema linapigwa siasa sana na kufanya lionekane dogo. Wengi wanaofanya hivyo hawajasafiri sana hapa Tanzania.
  3. Paddy

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la kuku (parent stock) na mayai

    Mkuu bado unao Kuku Parent Stock?
  4. Paddy

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu: Mahakama zisiendeshwe kwa Maelekezo

    Uongozi ni ujasiri wa kufanya maamuzi magumu na sometimes hata kuingia kwenye hatari ya kupoteza cheo ulichonacho. Hongera sana mkuu umeliweka vizuri sana. Ila aungwe mkono hata kwa hilo dogo alilonalo. Kumbukumbu/Historia itambeba kwamba aliwahi kusema. Anaongoza muhimili muhimu sana kwenye...
  5. Paddy

    JamiiForums Tanzania Wajuvi njooni mnijuze, "Mungu aliumba dhambi lini?"

    Mkuu upo vizuri, hongera kwa uchambuzi mzuri.
  6. Paddy

    JamiiForums Tanzania Je una chumba, apartment au nyumba inayofaa kwa ajili ya Airbnb? Njoo tushirikiane

    Haujaongelea vizuri uzoefu wako upoje na hadi sasa wateja wako wanapata asilimia ngapi kama ROI (Return on Investment). Ukiweka nyama nyingi zaidi hadi wengine wenye facility inayoweza kufaa tunaweza kuvutiwa. Mfano mimi nina potential facility Makongo CCM
  7. Paddy

    JamiiForums Tanzania App ya kupima ardhi

    https://play.google.com/store/apps/details?id=lt.noframe.fieldsareameasure
  8. Paddy

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Leo: Wizi wa kura ni Chukizo kwa Mungu by Padre Kitima

    Kuiba kura ni dhambi kubwa sana, inashangaza sana Wakristu wanaoshiriki matendo hayo, hasa hasa Wakatoliki wanaoshiriki dhambi hiyo. Inashangaza sana!
  9. Paddy

    JamiiForums Tanzania Wenye nyumba mnataka mtumalize sasa. Hela ya Tahadhari Mwezi Mmoja ndio nini sasai?

    Umeshawahi kumiliki nyumba ya kupangisha? Nina mashaka na hilo. Ukiwajua vizuri watanzania wasivyolipa kodi lazima na wewe ungebadilika na kudai kodi ya miezi kadhaa mapema. Labda kama unataka kudaiana madeni na wapangaji walioondoka na madeni tena bila hata kutoa taarifa
  10. Paddy

    JamiiForums Tanzania Uokovu wa Matendo(Yesu) VS. Ukovu wa Imani(Paulo)

    Umejitahidi kumuelezea mtoa mada, ila wewe pia umeingiza jambo usilolifahamu. Wokovu ni nini? Paulo anaongelea imani kwa Yesu Kristu na sio wokovu. Mnaingiza maneno mapya na kuharibu maana kabisa ya mafundisho ya Mt. Paulo. Matakatifu Paulo anasema ni lazima kumtegemea Kristu ndipo matendo mema...
  11. Paddy

    JamiiForums Tanzania Kupata Mali Sio Dhambi .

    https://youtu.be/dVMgEIEwZbU?si=MQ2-zv6HcvnGP088
  12. Paddy

    JamiiForums Tanzania Nakupa codes kuhusu Raba hii kali ya Air Max

    Mkuu nimechelewa kukufahamu, binti ameshaenda shuleni. Utanitafutia size 43 ya kike December akirudi
  13. Paddy

    JamiiForums Tanzania Nakupa codes kuhusu Raba hii kali ya Air Max

    Za kike zipo?
  14. Paddy

    JamiiForums Tanzania Naingiza milion 22 kwa mwezi kwa biashara ya kuuza Mapapai shambani

    Mkuu, naomba unitumie link na mimi
  15. Paddy

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kozi ya kuchagua kati ya hizi

    Hivyo hivyo ulivyopanga ndio ipo sawa. Ukienda kinyume chake unakuwa umekosea.
Back
Top Bottom