Recent content by p2k

  1. P

    JamiiForums Tanzania Tuendelee kuwa na subra kuna mtu kahitimu chuo 2001 na ajira kapata 2025miaka 24 kitaa

    Yaani hii nchi sijui watoto wa masikini wataenda wapi?........kila sehemu ni utapeli.....yaani TAMISEMI walichofanya hapo ni dhahiri bila rushwa hizi ajira huwezi pata.....wamewapa wahitimu miaka ya uongo hapo karibia 90%(nini maana ya hicho walichofanya) Wahitmu wengi hapo wamemaliza miaka ya...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta mawasiliano ya Kilimanjaro College of Health and Allied Science

    Watu kama hawa sijui wanatoka wapi?? Mtu hakuna kitu unajua juu ya kitu fulani na unakaza mpaka makalio kukikandia chuo ambacho hata hukijui.. Inasikitisha sana.
  3. P

    JamiiForums Tanzania GPA ya 5 - Anazurura mtaani; we are not serious!

    kila mwaka napokea wanafunzi kutoka hivi vyuo vya afya nchini tanzania na nje ya nchi kwa taasisi fulani hapa nchini Huwa naona uwezo wa wanafunzi hawa vizuri sana lakini huwa sioni utofauti kabisa unaozushwa kuwa wanafunzi wa muhas wanakuwa bora zaidi kuliko vyuo vingine(ni uongo mkubwa kabisa).
  4. P

    JamiiForums Tanzania Clinical officer versus Medical laboratory

    kati ya hizo mbili.......kidogo clinical medicine(kidogo....narudia) ila ningekuwa mimi hapo nisingesoma hata moja ila ningechagua kati ya machaguo yafuatayo 1. Radiology 2.phythiotherapy 3.Dental 4.Optometry(kichas) 5.Nursing Ikikufaa.....zingatia........ASANTE
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mitihani ya kidato cha sita 2023 ilikuwa below standard

    watanzania ni washirikina kihasilia.......mkuu watoto wangefeli bado mngepiga kelele tu. Yaani jitu linakosa kabisa usingizi eti kwanini hakuna ziro za form six......kweliii????? Ngoja nikuambie kitu mkuu....kufelisha wanafunzi au kutunga mitihani migumu si kipimo cha elimu bora. Acheni...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kuhusu matokeo ya kidato cha sita mwaka huu 2023

    kwahiyo unataka watoto wafeli??.... ili elimu isikufikirishe? Watanzania bhana.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Physics-B, Chemistry-C na Biology-C. Kuna kozi gani ambazo ni za afya mhitimu huyu anaweza jaza kwa mwaka huu kulingana na competition?

    1.MD 2.Nursing and midwifely 3.Bsc in physiotherapy Akasome hizo hapo juu ila ahakikishe anaomba vyuo vya private tu ili asipoteze mwaka mzima akiwa nyumbani(Maana wadogo mnafaulu sana siku hizi mpaka raha). Achana na kozi kama medical laboratory na pharmacy kwanza(najua nini nimeandika). Asante.
  8. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Kabeba mimba ya mume wa mtu, afanyaje?

    huwa nakasirika sana kuona mwanamke analialia mpaka kufika hatua ya kutaka kutoa ujauzito kisa mwanaume amesema hatasupport. Wanawake ni viumbe wa ajabu sana halafu unakuta linalolalamika lina mikono na miguu .........zaa mtoto wako mtunze na MUNGU atamkuza.
  9. P

    JamiiForums Tanzania GPA kubwa now hazina umuhimu sana

    kila siku huwa nawaambia wadogo zangu na wanafunzi wangu kwamba fanya ufanyalo upate GPA kubwa. Hata kama hujui kuchukua history kwa mgonjwa......wewe pata GPA kubwa pita vile......kwa njia yoyote ile hata kama ni kwa kumpa lecturer pesa wewe mpe tu ili upate GPA kubwa. Mambo ya huku...
  10. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu mnawezaje kuvumilia wake wenye majibu ya ovyo?

    mbona nilisikia mlikaa kikao cha kukataa ndoa?
  11. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa Kiswahili (Kitanzania) kwanini mkiulizwa hili Swali Kuntu na Wanaume huwa mnalishangaa na kuona aibu kulijibu?

    Raisi wa nchi......mama samia anasoma ujue.
  12. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)

    Bila shaka huna pesa.........Tafuta pesa mdogo wangu.
  13. P

    JamiiForums Tanzania MKWAMO: Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ijitafakarini haraka

    Familia zinazojitambua huwa hazipelekagi kabisa watoto bweni ni vile wabongo mnajifanya mna mambo mengi ya kufanya. ASANTE.
  14. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeumia sana kuona mke wa mtu anazini ndani ya usafiri wa umma, tena akiwa na mtoto mdogo

    mwenzako aliliwa bhana..........mimi nikishuhudia......ahaaa
  15. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha matamu chukua chako mapema nimemfaulisha Mwanamke

    wewe na demu wako......wote ni viazi vitamu.
Back
Top Bottom