Recent content by P.R.O

  1. P

    Hapa anaelekea wapi?

    wote 2meumbwa na Mungu mmoja,km President ni pepo bc na wewe pia ni pepo tena mchafu..angalia maneno yako kijana utahukumiwa kwa kipimo hichohicho n dn jurge sm1 by looking..period
  2. P

    Msaada jamani

    yaani ht product oil product sizijui cz product nyingi ni za ngozi kavu,.mimi ngozi yangu ni ya mafuta ht nikiamka asubuhi nakuta mafuta usoni.
  3. P

    Msaada jamani

    Sauna ndio wapi?
  4. P

    Msaada jamani

    Mimi nina tatizo na uso wangu jamani,.yaani una mafuta kiasi kwamba napata chunusi na m nt looking gud 4 real,.hamna ht lotion inayonikubali cz nyingi zina mafuta,mpaka inafikia na2mia lotion za kiume nikiamini ni kavu..naomba mnisaidie mwenye utaalamu na nyuso ili na mimi cku 1 niwe na...
  5. P

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    shukuru Mungu umelelewa na wazazi wako kabisa bt knw dt wazazi wengine wanatesa sana watoto wao hasa km hawajawazaa na bora ampe mtoto kazi bt smtm anamnyima hadi chakula do u thnk huyu mtoto atasahau? HATA KANUMBA may b alipata mateso mengi zaidi ya kazi..dont judge.
  6. P

    Help

    Jamani, me nawashukuru kwa mawazo...me sio mtoto sema nimechelewa kuanza mapenzi na huwa naogopa sana kuuliza maswali yanayohusu usichana,nipo University.
  7. P

    Help

    Hi JF members,.. Nahitaji msaada wenu....hv karibuni nimetoa bikra yangu ingawa cna uhakika if kweli imetoka kwani nilickia ikitoka damu hutoka pia bt mimi cjaona damu..mnavyoona bikra imetoka au? Na mpenzi wangu alipojaribu tena akiwa anaslide kwenda ndani zaidi kuna maumivu nayackia nakuwa...
  8. P

    KASISI VS UPEPO....anawaza nn?

    Anamuangalia huyo mdada kwa kumckitikia,.nothing else.
  9. P

    Usibabaike na fremu za wanawake

    Yaani wewe unawaza mapenzi 2!umekosa thread za kupost? Kuna m2 aliyezaliwa anajua hayo mapenzi,.come on..sio kl kabila wanafundishwa hayo mambo..hlf inavyoonekana wewe ni playerboy..n if unayaweza sana hayo mapenzi mfunde huyo mwenzi wako sio kumdharirisha na kuona wanawake wote wako sawa..huna...
  10. P

    Anahitajika mtu mwenye cv ya hivi

    Jamani mpaka huruma!! Hii ndio JF bana,.hope umeelimika ndugu ye2.
  11. P

    Kwa wale mliosoma kwa mkopo wa Bodi ya Mikopo ya elimu ya Juu Tanzania, Angalieni Tangazo hili

    Poleni sana mliokuwa mnategemea body, ndio hivyo tena..dawa ya deni kulipa.
  12. P

    Help!

    na yeye hawezi kujiongeza?
  13. P

    Help!

    thanx best kwa ushauri wako!
  14. P

    Help!

    iko cku utampata ucjari.
Back
Top Bottom