Hapa anaelekea wapi?

Hapa anaelekea wapi?

hivi kwanini hizo adha za hali ya hewa huwa haziipati ndege yake? manake naskiaga ndege nyingine tu zinadondoka lakin yakwake ukioanisha na safari zake hapati hizo dhahama. natamani siku upepo wa kisulisuli uipeperrushe ili tufungue ukurasa mwingine wa tanzania.

Acha hizo mkuu. acha kabisa.
 
cku ya ukumu!wengine kuni zitakuwa nyingne sana kwako kwa matendo yao machafu?
 
Mi naona ana-stress, hawazi lolote, anaogopa kurudi home, akicheki pinda vote of no confidence 73, who is next?
 
hivi kwanini hizo adha za hali ya hewa huwa haziipati ndege yake? manake naskiaga ndege nyingine tu zinadondoka lakin yakwake ukioanisha na safari zake hapati hizo dhahama. natamani siku upepo wa kisulisuli uipeperrushe ili tufungue ukurasa mwingine wa tanzania.

iliishawahi kuanguka jangwani huko somalia alikuwa anatoka kuangalia mpira na washkaji zake south africa wakaja kuokolewa ila haikuripotiwa
 
Jamaa amebeba mkataba wa kuuza Arusha na Kilimanjaro anapeleka L.A.
 
580970_371918619518754_100001018582504_982329_1999103126_n.jpg

HAPA SIJUI ANAWAZA NINI??

GOD BLESS YOU OUR LOVELY PRESIDENT, WENGINE WANAKUPONDA MDOMONI LAKINI UPO MIOYONI MWAO.
Hili pepo huwa silipendi kinoma hadi najisikia kinyaa
 
anapita ulimwengu anaelekea duniani wanakoishi watu kupunguza stress za mawaziri
 
Hili pepo huwa silipendi kinoma hadi najisikia kinyaa
wote 2meumbwa na Mungu mmoja,km President ni pepo bc na wewe pia ni pepo tena mchafu..angalia maneno yako kijana utahukumiwa kwa kipimo hichohicho n dn jurge sm1 by looking..period
 
hivi kwanini hizo adha za hali ya hewa huwa haziipati ndege yake? manake naskiaga ndege nyingine tu zinadondoka lakin yakwake ukioanisha na safari zake hapati hizo dhahama. natamani siku upepo wa kisulisuli uipeperrushe ili tufungue ukurasa mwingine wa tanzania.

Si vema usifike huko.
 
Huyu jamaa bana!!!
attachment.php
 
Attachments

  • JK.jpg
    JK.jpg
    57.5 KB · Views: 189
Hawa chadema wanavyoniumiza kichwa sijui ni wafanyaje ndo mawazo ya mkuu hapo
 
Back
Top Bottom