kwani mie sina uchungu na kodi nayotoa hata mimi nina uchungu sana issue kubwa hapa tunapinga humu mfumo mbovu wabodi na ambao unaonekana unaweka mianya mingi ya ulaji wa hizi hela .. Yaani mi naona nime vyema hata wangenipa dogo nimsomeshe lakini hii ya kuwalipa daahndio haya mambo sasa, badala ya kustick to the point tunaanza kunyoosheana vidole. Anyway, whatever makes you happy..
binafsi zipingi kulipa na wala sina hasira mie doubt yangu ni ulaji wa hizi hela na serikali hii legelege na usimamizi wake yaani wanatuwekea wakusanya madeni huu si wizi wa mchana watakuwa na hisa kwenye hizi kampuni za kukusanya madeni .sawa mkuu lakini si ulikopa? Wakati unajaza form za kukopa ulitegemea nini? Si kulipa? Sasa kwanini unawaka hasira sasa hivi?
iyo paye wanayonikata kwa mwaka nanunua magari mawili
ole wao ole serikali ichukue ela nyingine kwenye mshahara wangu
ole ole nitaandamana uchi
mkuu unaonekana mkorofi sana.....anyway mwisho wa siku lipa tu deni mengine ya usimamizi tuyajadili baadaebinafsi zipingi kulipa na wala sina hasira mie doubt yangu ni ulaji wa hizi hela na serikali hii legelege na usimamizi wake yaani wanatuwekea wakusanya madeni huu si wizi wa mchana watakuwa na hisa kwenye hizi kampuni za kukusanya madeni .
Ntalipa ila sio leo wala kesho labda jeshi au tupate serikali tiifu yenye watu wenye nidhamu na fedha za umma hapo wala sina shida ntawapa tu
Hela yangu wachukue kwa Ester Budili,wanyofoe kwenye ile mil 91
Ndugu Mwita, hapa naona unachanganya vitu viwili tofauti, Mkopo watu walikopa na masharti ya mkopo walisoma sasa hii ishu ya wabunge sijui nini, ni ishu ya kuijadili kipekee ila hapa tujadiili watu kulipa madeni yao ili wadogo zetu wasome!
kama ni ufisadi tu deal na hao mafisadi
Kweli kabisa hata mimi hilo nimeli-note.
Mimi mwenyewe nilishaanza kulipa lakini jina langu nimeliona, na kuna watu walikuwa wanajilipia wenyewe nao majina yao yapo!!
Loan board hawako makini kiasi cha kutosha kufanikisha zoezi la ukusanyaji wa mikopo.
Wamefafanua tayari,kama umeanza kurejesha huhusiki na tangazo lao!
kumbe tulikuwa tunadanganyana hii hela ya bure!!!inakuaje sasa haya mambo!!maanake nakumbuka hata kama unalipiwa na mzazi washkaji wanakushawishi uchukue na mkopo kwakuwa si rahisi kuja kudaiwa kumbe sivyo!nimemind kinyama......
Hii HAPA nenda chini kabisa ya page utaona majina ya vyuo, chagua chuo ulichosoma utaona majina
NAtaka nijue nadaiwa Tsh.ngapi ,hiyo ntapata wapi
Mi naona ni vema wangeweka utaratibu pia wa kuonyesha kiasi unachodaiwa maana wengine tutaanza hata kuongezewa figure. ni heri wangeongeza link kuwa u click jina lako upate more details
Mkuu hyo orodha inapatikana wapi mbona nimeangalia kw website yao sijaiona!!
labda wanifate kwa mtutu, sili9pi hata senti, hizi ni pesa za wazazi wetu ktk kodi walizokua wanalipa i dont feel any obligation to pay anything whatsoever! they can go to hell!