mgongano wa mawazo hii inatokana na kukurupuka na kupewa kazi usioiweza pombe hajawahi kusimama jukwaani kumwaga sera ndio maana anajikuta badala ya kusema wapinzan anawasema wana sism wenzake
nimenunua body used kwaajili ya gari yangu imepata ajali nahitaji kujua jinsi ya kubadilisha maelezo ya kwenye kadi yangu yaendane na hili body jingine toyota kikorola flani old model.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.