Marketing. Katumia hela yake kuji advertize kwani kafanya kosa gani? Method siyo nzuri sana lakini hajavunja sheria.
Hebu Fikiri Asingekufa Huyo Mfaji Yeye Angetimizaje Lengo La Kijiadvatiz
Hapo tatizo ni msaada alio toa au picha? Hoja hii haina mashiko
Tatizo Ni Picha Na Kama Una Uwezo Wa Kufikiri Vizuri Utatambua Kuwa Hakuwa Sahihi
huyo mgombea n wa ccm au chadema il nchangie vzur..
Hebu Fikiri Asingekufa Huyo Mfaji Yeye Angetimizaje Lengo La Kijiadvatiz
Siasa Za Siasa Ndugu Juma Rahibu Mgombea Udiwani Kata Ya Bomambuzi Moshi Ametoa Kali Pale Alipotoa Msaada Wa Makaton Ya Maji Msibani Lakini Ajabu Ni Chupa Za Maji Hiyo Kuwa Na Picha Yake Je Tunakwenda Wapi? Siasa Hizi Chafu Had Lini?