Picha: Devis Mosha atumia Helkopta kura za Maoni

Picha: Devis Mosha atumia Helkopta kura za Maoni

anajisumbua tu moshi watu wanataka mabadiliko na wameyaona kwa ndesa na ndesa amemwachia jaffari ni mtu mchapakazi leo hii utaona mji wa moshi unamaendeleo jaffari kama meya amefanya mengi yeye ajisumbue tu ccm huu ndio mwisho wao

hawa ukawa bwana moshi wamegeuza jimbo la familia duu kweli uchagga mwingi
 
Wengi wanaweza kushangaa kwanini jamaa anataka ubunge wakati ana kila kitu hasa utajiri na umaarufu ......
Lakini kanuni za binadamu ziko hivi
Kwanza unatafuta mahitaji ya lazima
Kisha unatafuta ziada(utajiri)
Halafu unatafuta umaarufu/kujulikana (kutoa michango/misaada kwenye kada mbalimbali, kuandikwa andikwa na vyombo vya habari nk
Kishapo heshima, mamlaka na utukufu
Sasa jamaa yuko hiyo hatua ya mwisho, baada ya hapo hakuna ziada
mshana jr umeongea vema,lakini sababu kuu ya mwanadamu kutoridhika ni ni "the theory behind satisfaction. Satisfaction is at infinity". Hivyo ndivyo ilivyo,ad-finitum.
 
Last edited by a moderator:
haya tumekusikia shekhe yahaya
Wewe mwenzetu inaonekana umezoea mambo ya ramli mimi naangalia sifa za bwana Tarimo tu, kijana ana ushawishi hapo moshi mjini, amejijenga kiuwezo tofauti na David Mosha na hao wengine amesoma na anapeleka fikra mpya.

Moshi mjini wanajua chaguo sahihi ni yeye wengine fujo tu.
 
hawa ukawa bwana moshi wamegeuza jimbo la familia duu kweli uchagga mwingi

Nan kakuambia jimbo LA familia jaffar na ndesa ni wanachama Wa chadema hawana undugu jidanganyeni ccm hamuwezi kupata jimbo la moshi
 
Anajisumbua huyo, mpango mzima ni ukawa. Jafari oyeeee, atatumia Pesa lakini haipati ngome. Amesahau hapo.
 
Huyo Mosha mshauri mkuu wake Lemutuz! ambaye naye uchambuzi na ushauri wa Siasa za Tanzania hajafuzu bado
 
Kwanza mpuuzi sana katuchafulia mji hapa,watu tumepumzika anachafua mji..pumbafu sana...halafu nani kamdanganya kuwa ccm italeta hata upinzani??au haulizi wenzie waliogawa hadi baiskel na simu wakaumbulia kura moja??kwanza apigwe faini yakuchafua mji...hajiulizi tu hakuna kipeperushi hata kimoja cha jaffary ila kila mtu anamjua kuwa jaffary ndio mbunge anayesubiri kuapishwa....ccm 2010 iliwekeza kiasi kisichopungua bilion moja kwenye kampen hapa mjini ila wakapigwa asbh na mapema kabla ibada yakwanza haijaisha...inatakiwa aambiwe kabisa kuwa moshi haihitaji ccm milele...ccm ikipata hata jimbo moja mkoa wa kilimanjaro wakatambike...
 
Lemutuz ni mojawapo ya watu wenye vichwa vya panzi na mtu ambaye akili yake ina ufikiri finyu..kuanzia matendo yake..sasa mtu kama devis mosha kutumia lemutuz its means jimbo la moshi likienda kwa mtu kama huyu mwenye mshauri mwenye uelewa mdogo wana moishi wataingia hasara saana
 
Wengi wanaweza kushangaa kwanini jamaa anataka ubunge wakati ana kila kitu hasa utajiri na umaarufu ......
Lakini kanuni za binadamu ziko hivi
Kwanza unatafuta mahitaji ya lazima
Kisha unatafuta ziada(utajiri)
Halafu unatafuta umaarufu/kujulikana (kutoa michango/misaada kwenye kada mbalimbali, kuandikwa andikwa na vyombo vya habari nk
Kishapo heshima, mamlaka na utukufu
Sasa jamaa yuko hiyo hatua ya mwisho, baada ya hapo hakuna ziada


Kweli mkuu aisee
 
Ccm bwana si hua mnasema wachaga ni wabaguzi na hawafai.sasa huko moshi mtaenda kuwaambia nini hao wachaga.
 
Ni kabisa mkuu moshi CCM anajisumbua maana hata wale wazee walishaelimishwa wote ni m4c
 
Ccm wakishinda jimbo la Moshi najipiga picha za utupu natundika hapa Jf.
 
kama kamwaga vipeperushi basi kauchafua mji wa Moshi, kila kipeperushi alipie 50,000


bowlibo;
Huyo ni ccm hawezi kuchafua mji, anaruhusiwa huyo, ni mwenzetu, tena wa kile chama chetu chenye wenyewe naye naona anaonesha kuwa naye yumo kwenye orodha.
Kama ana nguvu, Jafari Michael, aamuru vijana wa Manisipaa wamshike kwa kuchafua mji uone ka Nape hajafika Moshi. Fweza ndugu haisemi uongo. Hicho ni kibwagizo tu, ngoja apitishwe uone ka hamjanywa maji kwa ukucha wa kuku. Masikini ccm yangu, inajifia yenyewe
 
Back
Top Bottom