Bei: Milioni 3.8
Zinafaa kwenye korosho au fumigation majumbani.
Description
The Tomahawk Backpack Mist Blower is perfect for applying pesticides in small orchards and vineyards or for pest and parasite control in greenhouses, and ranches. The TMD14 improves plant protection and chemical...
Kwani Mwinyi sio Mzanzibari? Hajapata cream. Viongozi wazuri mpaka uwasake kwa tochi. Naamini kati ya nafasi zilizobaki baadhi watateuliwa, na yamkini wizara moja atashika mwenyewe.
Xiaomi (au Mi) power banks, ni kati ya power banks tatu bora zaidi duniani.
Jipatie ORIGINAL Mi power banks (Kila moja ina security code iliyofichwa ya kuhakiki kama original, kupitia mtandao wao wa Xiaomi).
Zinapatikana Dar es Salaam, mkoani utagharamia usafiri mwenyewe.
Bei:5200mAh ni...
Mkuu kwanini usianzishe huduma ya kinabii halafu nasi tujifunze. Maana wengi wanasema huko pesa za bure; lakini wao hawaanzishi ingawa shughuli zao za sasa haziwapi pesa za bure.
Mkuu usiamini kila caption ya picha. Ni kawaida sana mtu kusafirisha gari, hasahasa toka Ulaya kwa kujaza na vifaa vyake kwenye container. Container husaidia sana kukwepa kuibiwa vitu. Lakini kuweka gari kwenye container haimaanishi halitoonwa, labda muamue kutoliona tu, ambapo kutoliona si...
Wakuu inawezekana tunalipa ushuru mkubwa sana, na hivyo serikali inapaswa itusikilize. Lakini pia jaribu kulinganisha ushuru walipao wenzetu Kenya kwa kutumia calculator ya Tanzania, na Kenya. Inaonesha Kenya wanalipia maradufu.
Tanzania Revenue Authority - Calculators & tools
KRA Motor Vehicle...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.