Recent content by Ozil one

  1. O

    JamiiForums Tanzania Ulaghai wa Chuo Kikuu cha Kampala International University (KIU) cha Dar es salaam

    KIU jibu lake ni rahisi sana JOHN POMBE MAGUFULI! !!!! KIU inatapeli watanzania!.
  2. O

    JamiiForums Tanzania TCU waweka round ya nne!

    Hii Kweli ndo bongo!! kuna uwezekano wa kuwepo round ya 5,6,7,8,9,10,11,12,13,14,16,17,28,19,20,21...........................10000 !!
  3. O

    JamiiForums Tanzania Bagamoyo university kuna nini mbona ada kubwa sana?

    Vyuo kama hivi vinatakiwa vifungiwe kabisa!!!!! Vinatapeli watanzania!!!
  4. O

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuhama chuo ulichochaguliwa kama hukipendi

    Haya Mambo ya transfer yanaumiza kichwa sana!!!
  5. O

    JamiiForums Tanzania Utaratibu Wa Ku -Transfer Upoje

    Mwaka huu Kuna mtiti wa hatari! !!!!!
  6. O

    JamiiForums Tanzania TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    Big result now ni shidaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!
  7. O

    JamiiForums Tanzania Kumekucha bodi ya mikopo

    Ww Kweli ni mgonjwa!!! watu kama hawa wa kuvumisha uongo wanatakiwa wakamatwe wapelekwe Segerea ili liwe fundisho kwa Wengine!!
  8. O

    JamiiForums Tanzania Waiting for aproval

    Ukiandikiwa waiting for approval ndo umeisha chaguliwa Ww jiandae kuripoti tu. All the best guys!
  9. O

    JamiiForums Tanzania TETESI: Hivi ni kweli HESLB wameachia majina ya watakaopata mikopo

    Acha kuishi kwa tetesi!!!!!!
  10. O

    JamiiForums Tanzania Mkopo kwa first year 2015/2016

    Kuna watu wanapenda "cheap popularity " mfano mzr ni huyu alieanzisha huu Uzi . Badilika!!!!!
  11. O

    JamiiForums Tanzania Wale wa UDOM

    Nimechaguliwa UDOM , nauliza Vp mtu anarusiwa kuhama kutoka kozi ambayo ina mkopo kwenda kozi ambayo haina mkopo hapo hapo Udom ?? Mwenye uelewa wa hili swala anisaidie. Tukutane UDOM tupige msuli.
  12. O

    JamiiForums Tanzania Wadau wa Kampala University tukutane hapa

    KIU ni majanga kila mwaka!!! nasikitika kusikia kwamba kuna watu tena wameapply kusoma KIU!!!! nawashauri mfanye transfer mapema ili msije mkajutia katikati ya safari!!!
  13. O

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka na mfumo wa elimu ya tanzania

    Tupeleke bungeni watu ambao wamesoma ili waweze kulikomboa taifa hili. Mitaala yenyewe haieleweki Ni ipi sahihi au Sio sahihi!!!!! Inasikitisha sn.
  14. O

    JamiiForums Tanzania Karibuni tuendelee kujuzana vyuo ambavyo tayari vimeshaachia majina, hapa ni list ya baadhi ya vyuo

    Humu mjengoni mbona uongo mwigi sn!! . mtu ukisema selections tayari jitahidi kutoa evidence.
Back
Top Bottom