Wale wa UDOM

Wale wa UDOM

karibuni udom coes,,,,,ila mjipange msuli wa coes na wa advance tofauti ni jina tu,,,,
 
Nisaidieni wakuu,ivi hii course inashugulika na nini (BCOM IN SCIENCE MANAGEMENT)
 
msaada nnaswali
nmechaguliwa directly diploma in secondary education chemistry&maths ckupata nafas y kwenda a-level nlikuanauliza kama nkitaka kujiendeleza hapo baadaye nje ya education inawezekana ??
nakama inawezekana n koz gan ntakazo zsoma kutokana na masomo yangu nnayofundsha?\
msaada please
 
Nimechaguliwa UDOM , nauliza Vp mtu anarusiwa kuhama kutoka kozi ambayo ina mkopo kwenda kozi ambayo haina mkopo hapo hapo Udom ?? Mwenye uelewa wa hili swala anisaidie. Tukutane UDOM tupige msuli.
 
hiv EZRA CHENGULA naomba unisaidie,kuna ndugu angu kachaguliwa direct special diplma of education chem&maths haxa ananiulza kuhsu garama zte za pale udom zinakuaje na wa2 wanaxema wanalipiwa na xerkal na kama wanalpiwa inakuaje kuaje ?naomba tarifa zaid ili mtt wa baba mdogo aende chuo?
 
Nitafte nikupe maelekezo
 
Mm naombeni namba ya watsup grup nina swali naitaj msaada wa karibu..kwa wanafunz au aliyechaguliwa udom
 
Nisaidieni wakuu,ivi hii course inashugulika na nini (BCOM IN SCIENCE MANAGEMENT)

Course nzuri na mm nasoma hiyo course njoo ujionee utamu class watu wachache nomaa sana karibu me naitwa Justin mwaka wa pili nikiongozi wa classs
 
Aiseee kumbe tuko wengi hivi???? hebu wazoefu na wenyeji wa chuo mtupe michakato inakuaje kuanzia campus life,accommodation, opening day, usafiri na vinginevyo

Niamin mm hutajuta kuchaguliwa udom bro ur welcome
 
Back
Top Bottom