watu wana roho ngumu duuuh
Kiu dawa yao October 25 ukawa wakisha shika dolaa, wale vigogo wanaoitetea kiu wataelewa tu ndani ya madiliko, kiu watanyooka tu
watu wana roho ngumu duuuh
Kwa walio maliza KIU wanaosoma KIU na walioomba au wanaotarajiwa kuomba tukutane hapa tupembue mbivu na mbichi kwa yanayozungumzwa kuhusu hiki chuo, je mgogoro ilikua kwa watu wa afya tu au na faculty nyingine?[/QUOKibokKukawa yao ukawa,