Jinsi ya kuhama chuo ulichochaguliwa kama hukipendi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi ya kuhama chuo ulichochaguliwa kama hukipendi

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by diet, Sep 3, 2012.

 1. d

  diet Member

  #1
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani kwa wanafunzi wale waliochaguliwa ktk vyuo ambavyo c chaguo lako unaweza kuhama cha kuzingatia ni kuwahi ktk chuo ukipendacho ili mradi tu iwe chuo cha private. Pia unaweza kubadilisha na kozi.
   
 2. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  toa maelezo ya kina sio kwa kifupi namna hiyo
   
 3. M

  Mfukunyuzi Senior Member

  #3
  Sep 3, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwana hebu weka maprocedure basi jinsi ya kufanya
   
 4. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2012
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 837
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Sijakuelewa kabisa. Ninachofahamu ni kuwa Kitu ambacho hakiwezekani kabisa ni kuhama chuo ulichochaguliwa,unless labda ingekuwa ulituma application katika vyuo kuanzia viwili na kuendelea.
  Sasa unaposema unaweza kuhamia chuo cha private,ilo nalo linanitia wasiwasi,ila inawezekana kujiunga na chuo cha private kama hiko chuo hakifuati Central Admission System ambayo inafanywa na TCU pekee. Sina uhakika lakini nimesikia Muslim University Morogoro hawafuati hiyo system ya CAS. Ila karibu vyuo vyote TZ vinafuata system ya CAS.
   
 5. d

  diet Member

  #5
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ok,,,, mfano umechaguliwa tumaini na unataka kwenda jordan cha kufanya unawahi kwenda jordan unawaomba then wakishakukubalia hukanyagi tena tumaini,, sababu ukichaguliwa na tcu ni kazi moja na kwenda ulikochagua ni kazi ya pili, sababu km usipoenda tumaini hawataweza kukufanyia registration, hivyo utakuwa registed jordan na jina lako likipelekwa tayari utakuwa uko ndani ya system,,, pia unatakiwa kuelewa elimu ya juu si km secondary kwamba kipindi cha mtihani jina lako laweza lisije! La,,,,elimu hii hatma yako iko kwa lecture wa hapo hapo chuoni na chuo chenyewe,,,,,hivyo wakishakukagua na wakakusajili tayari mambo yatakuwia poa na utasoma km kawa cha muhimu usikimbie quiz, discussion, presententio, text cose ni vitu muhimu vitakavyokuwezesha upate GPA safi
   
 6. d

  diet Member

  #6
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pia eleweni kwamba cas hawaconsidi majina ya wale waliowachagua, wanachokonsida ni majina ya wale walioadmitiwa tu,,,,, sababu kuna waliochaguliwa na hawaendi kbs chuon hivyo ukishaadmitiwa ktk chuo flani huwezi kbs kuhama ila km bado hujaadmitiwa unaweza kuhama. Pia mnatakiwa kuijua kwamba hivi vyuo vya private ni ela yako tu hawawezi kukucha sababu wanataka pia kuongeza kipato...
   
 7. SANGI B

  SANGI B Member

  #7
  Sep 5, 2012
  Joined: Sep 4, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa hapo iko hvi,kwanza kama unataka kubadili chuo unaomba nafasi ambayo unahitaj kwenye chuo husika,wakisha kukubalia ndo unakuja kwenye chuo ambacho upo kutoa taarifa kuwa unahama chuo.

  lakin pia kuna suala la MKOPO sasa kama umepangia chuo inamaana na mkopo wako utaelekezwa kwenye chuo ulicho pangiwa mwanzo.sasa hapo ndo kuna swala gumu la kwenda bodi ya mkopo kufuatilia kuhamisha mkopo huo kutoka chuo cha mwanzo na kwenda chuo ambacho umeomba.:bolt:
   
 8. s

  shedi kibiki New Member

  #8
  Oct 16, 2015
  Joined: Sep 21, 2015
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwahiyo mdau ni lazima chuo kiwe cha privite
   
 9. S

  Sossy Mwasi Senior Member

  #9
  Oct 16, 2015
  Joined: Jul 19, 2015
  Messages: 189
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wakuu Mnapotoa Uzi Ni Bora Kua Na Uhakika Nao Kwanza Kabla Ya Uweka Kwa Hadhira.. Huo Utaratibu Wote Mnao Uzungumzia Ni Wa Zamani.Sasa Hv Kuna Maboresho,transfer Zote Ztafanyika Online Kupitia Account Za Wadahiliwa Ambapo Utapaswa Kulipia 30000/= Then Tcu Wenyewe Ndo Watai Direct Transfer Yako Katka Chuo Unachotaka Kuhamia.Siyo Kama Zaman Ambapo Ilimbidi Mtu Atafute Nafasi Ktk Chuo Anachotaka Kuhamia Then Apewe Barua Ya Uthibitisho Kisha Kuipeleka Katka Chuo Alichopangiwa Then Kwenda Tcu Kwa Makamilisho Zaidi.Kwa Wale Wa 1st Round Kipengele Cha Transfer Tayar Kmeshawekwa Kwenye Account Zao Lakin Bado Hakijaanza Kufanza Kaz(blocked) Hadi Pale Udahili Utakapoisha Ndpo Ktaanza Kufanya Kazi Kwa Watu Wa Round Zote...So Ni Bora Kusubiri Muda Ukifika Tcu Itatujuza..Kwa Maelezo Zaidi Nenda Kwenye Profil Yako Then Angalia Contacts Zilizopo Pale Uchukue Namba Ya Mtandao Wa Airtel Coz Nyngne Zote Hazipakan.Then Umuulize Kwa Ustaarabu Huyo Mama Atakae Pokea.kama Atapokea Atakwambia Hvo Pia Na Maelekezo Mengne...
   
 10. L

  LISANDIME JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2015
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 223
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Transfer haifanyiki kiholela hivyo. Ingekuwa hivyo basi ni sawa na TCU kufungua pandora box ambayo hawataweza kuifunga. Utaratibu miaka yote upo hivi. Kama UDSM program ya Archeology inahtajh 200 na waliochaguliwa mwanzo wapo wanafunzi 150, manayake kwa watakaotaka transfer itakuwa ni kwa 50 wanafunzi. Where therez available slots then transfer is inevitable. Pia suala la tranfer if not proved by TCU kama una mkopo ndio usahau mkopo.
   
 11. S

  Sossy Mwasi Senior Member

  #11
  Oct 16, 2015
  Joined: Jul 19, 2015
  Messages: 189
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  That's Why Wamesema Kuwa Transfer Ztakua Ni "first Come In First Served" Meaning That Ztafanyika Kulingana Na Available Slots So Anayewahi Kabla Ya Remaining Capacity Kuishia Na Pia Ana Vgezo Ndo Atakayepata
   
 12. O

  Ozil one Member

  #12
  Oct 16, 2015
  Joined: Sep 15, 2015
  Messages: 24
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 3
  Haya Mambo ya transfer yanaumiza kichwa sana!!!
   
 13. c

  charlitochris Member

  #13
  Oct 17, 2015
  Joined: Aug 25, 2015
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  woga wangu ni mkopo kwa kwel sijui itakuwaje na nataka kuhama
   
 14. Slim5

  Slim5 JF-Expert Member

  #14
  Oct 17, 2015
  Joined: Jan 7, 2014
  Messages: 15,714
  Likes Received: 12,810
  Trophy Points: 280
  Pole!
  Hapo wengi wanaumia
   
 15. L

  LISANDIME JF-Expert Member

  #15
  Oct 18, 2015
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 223
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Nimewasaidia wengi kufanya transfer..Ila kama una mkopo inasumbua sana kuja kuupata. Mwaka jana vijana 2 nliwafanyia transfer wapo Mwenge Catholic University ila mkopo wamekuja kupata Semista ya pili boom la pili. Kwa maana hyo walihenya sana na iliwalazmu hata kuchelewa kuripoti chuo. wakat huo kila kitu kilikuwa juu yao kuhusu gharama. Kwa aliewah fika ofis ya Bodi ya mikopo anajua usumbufu unaokuwaga pale.. na route za Bodi kwako hazitaisha. Kumbuken TCU GUIDEBOOK imetoa angalizo kwa wanaohama chuo.
   
 16. S

  Sossy Mwasi Senior Member

  #16
  Oct 18, 2015
  Joined: Jul 19, 2015
  Messages: 189
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tcu Guidebook Imetoa Angalizo Gan Kwa Wanaohama?..Emb Liseme Hlo Angalizo
   
 17. mine kahmf

  mine kahmf Member

  #17
  Oct 18, 2015
  Joined: Sep 22, 2015
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na kwa wale wanaotaka kuhama course ndani ya chuo utaratibu unakuaje. Msaada plizzz
   
 18. Jembekillo

  Jembekillo JF-Expert Member

  #18
  Oct 18, 2015
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,338
  Likes Received: 6,186
  Trophy Points: 280
  Natumai mu-wazima kabisa.
  Haya, kama wanavyosema watu kuwa "JASIRI
  HAACHI ASILI" kwa hiyo si vibaya tukiendelea
  kuangalia vile vitu ambavyo vinapatikana katika
  ASILI YETU YA KIAFRIKA na kutokukubali kuwa
  WATUMWA kwa sababu tu "MSAHAU/MKATAA
  KWAO NI MTUMWA" sasa basi tusiwe
  WATUMWA kwa kukataa vya kwetu na
  kudumisha MILA ZA WENZETU na ndio maana
  wenzetu wamekuwa wakiendelea kwa sababu tu
  wamekuwa wakidumisha MILA zao vile
  inavyotakikana kuliko kutukuza MILA ZA
  WENZAO.
  Sasa leo kuna hii dawa ambayo inajulikana
  kama MVWAZA au AZMAH, inaweza ikawa
  umeshawahi kuiskia labda, au kuambiwa
  pengine au hata kuitumia pia, labda inaweza
  ikawa inajulikana kwa jina jingine kwenye kabila
  lenu yawezekana lakini kwa mimi naifaham
  ikijulikana kwa jina la MVWAZA au AZMAH.
  Dawa hii inatumika kunako mambo kadha wa
  kadha kama nilivyokwisha dokeza kunako
  kichwa cha habari hapo juu kuwa, inatumika
  kuleta mvuto kwa mtu, kama ulikuwa ni mtu wa
  kuchukiwa na watu ama kutokupendwa tu bila
  sababu yoyote basi watu wakatokea
  kukuchukia, dawa hii kazi yake ni kukuongezea
  mvuto kwa kiasi kikubwa mno.
  Wataalam wanashauri unapokuwa na dawa hii
  inatakiwa kuwa makini sana hasa na jinsia
  tofauti kwa sababu unapoinuia basi yenyewe
  hufanya kazi kama vile ambavyo umeinuia, hasa
  kwenye suala la mvuto kwa mwanamke
  utakuwa ni mwenye mvuto mno kwa jinsia ya
  kiume na pia kwa mwanaume huamsha sana
  hisia za mvuto kwa jinsia ya kike na vinginevyo.
  Dawa hii kazi yake nyingine ni kupumbaza mtu
  ambaye utamkusudia kwa lengo maalum,
  mathalan ; Natumai mtakuwa mmeskia labda
  mtu akitafutwa na polisi na utakuta polisi
  anakufaham na mkapishana kabisa pasina
  shaka yoyote bila ya kukukamata.
  Au utakuwa umeskia labda mtu ana kesi
  mahakamani, pengine ni kesi kubwa tu ambayo
  kwenye mazingira ya kikawaida inakuwa ni
  ngumu kuchomoka, lakini kwa dawa hii ni
  jambo la ajabu sana ambalo utaweza
  kushangaa na utaskia mtu mwenye kesi husika
  akishinda kesi au akaachiwa huru kuonekana
  kuwa hana hatia au akashinda kesi kwenye
  mazingira ya kutatanisha kabisa.
  Dawa hii pia inaweza kumpumbaza mtu akiwa
  dukani au hata njiani na ukamuamuru mtu
  husika afanye jambo fulani labda unaweza kuwa
  umeskia kuwa mtu ameuziwa hata kipande cha
  chupa akiambiwa kuwa ni ALMASI na asielewe
  mpaka pale anapokuwa ameachana na huyo
  aliyemuuzia ndipo anapokuja kugundua kuwa
  alichouziwa si kitu ambacho alichokuwa
  akikitarajia kuwa ndio hicho.
  Yani unapoitumia inakuwa kama inampumbaza
  au kumfunga mtu husika hata kwenye kuongea,
  ni wewe tu ndiye unakuwa ukiskilizwa.
  Wengine wamekuwa wakiitumia kuwapumbaza
  watu kwa kutumia labda pesa bandia kwa
  kumpa mtu wa dukani au pengine hata m-pesa
  au tigo pesa then utakuta mtu anakuja
  kugundua baadae kabisa kuwa alizopewa ni
  pesa bandia, na anaweza akagundua ndio lakini
  bila ya kujua ni nani aliyemkabidhi pesa hizo
  feki.
  Kwa kifupi ina mambo mengi sana na uwezo wa
  ajabu kabisa. Hiyo ndiyo MVWAZA au AZMAH
  wapo wengi wakiitumia dawa hii na pengine
  waweza kuwa umeiskia au kuambiwa mahala,
  au labda na jina linaweza kuwa ni tofauti ila
  kazi zake zinaweza kuwa ni kama hii kwa
  asilimia 100, sasa sjui kwa kwenu mtakuwa
  mnaiitaje lakini kwa mimi naifaham ikijulikana
  kwa jina la AZMAH.
  Dawa hii inawafaa wanafunzi kwa sababu
  itawarahisishia maisha ya chuoni mfano huna
  hela na ada unadaiwa basi ukisema tu sina
  wanakupa muda wa kutafuta. yaani jina lako
  litatamba popote hakuna kudisco yaani full
  kufaulu.
  tumeanza ofa yetu itadumu mwezi mmoja,kwa
  mawasiliano zaidi tutafute kwa namba
  0718151415
   
 19. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #19
  Oct 9, 2016
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,472
  Likes Received: 4,748
  Trophy Points: 280
  Kuna binti anataka kuhama St Augustine ambayo aliiweka chaguo la tatu na kuhamia UDOM ambayo aliiweka cgaguo la kwanza
   
 20. M

  MjLuke Member

  #20
  Oct 9, 2016
  Joined: May 29, 2016
  Messages: 59
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  Hiyo dawa kumbe haifanyi kazi mpaka hapo ishashindwa . Maana kama inafanya kazi na unaikubali usingeitangaza ingejitangaza yenyewe kulingana na uwezo wa kupumbaza watu wengi wangepumbazika na kuinunua na kwenda kupumbaza wengine ambao wangepumbaza wengine na kupumbaza wengine . Inawezekana imeshaanza nawewe kuku...******mbaza .Acha ku....****mbaza watu humu.
   
Loading...