Recent content by ozadaxnowden

  1. O

    EWURA: Bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kuanzia Jumatano, tarehe 3 Agosti 2022

    Mpk IST unaweka gas, hali yako inatisha sana[emoji3][emoji3]
  2. O

    Mfahamu RTO anayehujumu Mapato ya Serikali jijini Dodoma

    Hahaha,wahamishiwe wapi sasa,mana hyo tabia ipo kila sehem sio Dodoma tu
  3. O

    Acheni dharau. Umenikamata bado unaongea na simu, eti "usiweke tomato"

    Gar yenywe unayo bloo,au ndo zle za kugongea kwa mwez unaendesha mara 1
  4. O

    Kusahau kufunga Mlango wa Gari kunaweza kuua/ kuathiri uzima wa Battery ya Gari

    Ukiacha mlango wazi au hta taa ikiwa inawaka kwa muda mrefu battery huwa inanyonywa,kuhusu hilo swala la vioo kutopanda au kushuka mara nying inatokea ukibadlisha/kuweka battery gari hupoteza kumbukumbu ndio maana unaweza kuona hta saa itabadlika majira.. Kusolve swala la vioo kutopanda,fanya...
  5. O

    Msaada jinsi ya kuagiza simu nje

    Bora ununue refurb bongo utaitumia ikisumbua unairudsha ulpochukua,sasa uagze cm nje alaf ifke unatumia mwez inaanza kusumbua utaituma tena nje?
  6. O

    Nahitaji kufahamu hili suala la kuweka tinted kioo cha mbele

    Habari wakuu, Nahitaji kufahamu hili suala la kuweka tinted kioo cha mbele naona siku hizi imekuwa kama fashion hapa Dar. Swali langu mnapambana vipi na hawa jamaa wanaovaa nguo nyeupe barabaran? Je, kuna Sheria yoyote inayokulinda kama dereva?
  7. O

    Wasanii wa Bongo wamtelekeza Idris, hakuna aliyeenda kumwangalia wala kumpost

    Jamaa umeongea point sana Sent using Jamii Forums mobile app
  8. O

    Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi

    Simply say hii ni Tanzania🤣🤣 Sent using Jamii Forums mobile app
  9. O

    Maelekezo kuhusu kubadili course UDOM

    Habari,nahtaji kufaham namna ya kubadlisha course chuo cha udom kwa waliochaguliwa mwaka huu.Asanten
Back
Top Bottom