Recent content by Oxpower

  1. Oxpower

    JamiiForums Tanzania Nahiitaji ushauri kuna jambo linanisumbua

    Check open university
  2. Oxpower

    JamiiForums Tanzania Mke wangu aliyeniacha anaomba msamaha anataka turudiane

    Usikilize moyo wako mkuu,wewe ndio unajua mengi zaidi ya huyo mwanamke.ila hakikisha mnapima afya
  3. Oxpower

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa Bendera, utumwa wa mfumo

    Huo ndio ukweli Vyama vya siasa haviwezi kulikomboa hili Taifa
  4. Oxpower

    JamiiForums Tanzania Larry Madowo, Minister wa habari mbaya za Afrika

    Kila mtu anafanya kazi anayoimudu,hivyo vivutio tabgazeni nyie
  5. Oxpower

    JamiiForums Tanzania 'Kufunguliwa' kwa Kanisa la Gwajima ni ushahidi tosha kuwa lao ni moja

    Kwani hiyo kesi imeendeshewa wapi na nani kashinda,na nani atamlipa fidia mwenzake?na watagawani nani na nani?tumia akili mkuu
  6. Oxpower

    JamiiForums Tanzania GE2025 Picha na Video: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025

    Vituoni hamna watu kabisa
  7. Oxpower

    JamiiForums Tanzania Kwanini watanzania wasiamdamane dhidi ya matumizi makubwa na maisha ya kifahari wanayoishi viongozi wao kama kununua magari ya kifahari kama maV8?

    Hilo unalozungumzia unaweza kulifanya wewe,wao wameanza na mambo mengine
  8. Oxpower

    JamiiForums Tanzania Mnaosema hamuamini uchawi, njooni niwathibitishie

    Kachukue nguo za ndani za POLEPOLE,MDUDE NA HECHE ,Ukiwarudisha tutakuamini vinginevyo ni mkwara tu,au mroge mafwele
  9. Oxpower

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tarehe 29 inawezekana wakakamatwa wanaokwenda kupiga kura badala ya waandamanaji

    Hiyo siku wakitoka hata watu wachache tu lengo linafikiwa kwa sababu zifuatazo 1.askari watatakiwa walimde vituo vya kura na kila kata iko na Askari kata mmoja na atatakiwa awepo kwenye kata yake kusimamia kituo kikubwa,na kila kijiji kinatakiwa kuna na Askari pia ila vitongoji mgambo wapo.sasa...
  10. Oxpower

    JamiiForums Tanzania Familia yangu imeniambia haioni faida Yoyote ya mimi kutetea haki hasa Haki za watu wanafiki na wabinafsi

    Hili ni andiko lako katika maandiko mengi unayoandika kupinga maandamano kwakujifanya hutetei watu wasiojitetea. Hebu niambie ni nani ameonewa na hakujitetea ? Ukiona mtu anatoka front jua ameonewa yeye na kundi la watu wa aina yake.kutoka front ni courage na vile mtu ameumbwa . Ndio maana wewe...
  11. Oxpower

    JamiiForums Tanzania Mwanamke age-mate wako aliyekukataa wakati ana miaka 21, atajisogeza kwako akifika miaka 30

    Hiyo ingefaa unlike wewe,yeye kaanza na upande huo
  12. Oxpower

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kauli Mbiu za CCM Kuelekea Uchaguzi Zimedoda

    Shida ni kwamba wamechanganyikiwa,wanataka kuzima no reform no election ila sasa hawajui wandike nini
  13. Oxpower

    JamiiForums Tanzania Wakenya watoa tahadhari kwa Watalii na Wageni kutembelea Tanzania kutokana vitendo vya Utekaji, Utesaji

    Tukiwanyima mahindi na sisi si tutakosa pesa.mie napata riziki yangu et niache kuwauzia kisa genz wa Kenya wanatusema vibaya?ebu waza upya mkuu hili suala sio jepesi
  14. Oxpower

    JamiiForums Tanzania Haya ndio majibu na uchambuzi wangu mzito na wa kina kwa hotuba ya Askofu Dkt. Gwajima

    Miongoni mwa watu wasio na akili basi na wewe umo
  15. Oxpower

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

    Enheee kiko wapi sasa
Back
Top Bottom