Recent content by ovada

  1. ovada

    JamiiForums Tanzania Board ya Mkopo (View Application Status)

    Utakuwa umeomba mkopo kwa level ya Postgraduate. Angalia vizuri.
  2. ovada

    JamiiForums Tanzania TANZIA Profesa Handley Mafwenga, Mtanzania mwenye shahada 9 afariki dunia

    Bwana ametoa, Bwana ametwaa, jina la Bwana lihimidiwe. Amina
  3. ovada

    JamiiForums Tanzania Serekali kuondosha leseni za biashara halmashauri, hongera

    Safi sana,
  4. ovada

    JamiiForums Tanzania Sheikh wa Mkoa Mwanza (Kuhusu Mjadala wa Bandari): Walaaniwe wote wenye nia ovu na Rais Samia

    Kwani kipindi cha awamu ya tano kiongozi wa sasa alikuwa nje ya mfumo?
  5. ovada

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa aache udini na undumilakuwili

    Tanzania yangu
  6. ovada

    JamiiForums Tanzania Yanga VS Marumo Gallants: Mechi ya kipimo cha Ubora wa Ligi Kuu ya Tanzania

    Sio kweli, Yanga amefungwa na Simba goli 2-0. Hivyo hajachukua ubingwa bila kufungwa.
  7. ovada

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mbunge wa zamani, Nimrod Mkono amefariki dunia nchini Marekani

    Apumzike kwa Amani
  8. ovada

    JamiiForums Tanzania Hamna mtu mwenye tatoo mwenye tabia nzuri

    Ukweli kabisa.
  9. ovada

    JamiiForums Tanzania Kusafirisha mifugo (mbuzi/ng'ombe) Iringa to Dar

    Una leseni ya kusafirisha mifugo? Kama huna nenda bodi ya nyama ukate leseni ya kitaifa ya kusafirisha mifugo,dharama zake hazizidi laki mbili. Pia kumbuka kuwa na TIN namba,leseni ya mahali pa kufanyia biashara,leseni na halmshauri husika. Gharama zake zake hazizidi laki 6. Asante.
  10. ovada

    JamiiForums Tanzania FT: 2022 Uefa Champions League Final | Liverpool 0-1 Real Madrid | Paris, France

    Madrid ana nafasi kubwa ya kushinda
  11. ovada

    JamiiForums Tanzania TANZIA Askofu Desmond Tutu afariki kuamkia leo akiwa na umri wa miaka 90

    R. I. P Archbishop Desmond Tutu
  12. ovada

    JamiiForums Tanzania TANZIA Arusha Wing tumepata msiba wa mwenzetu Freetown

    Apumzike kwa Amani Freetown
  13. ovada

    JamiiForums Tanzania GE2020 Padre wa Kanisa Katoliki aliyeomba Ubunge huko Kagera kupitia CCM asimamishwa rasmi kuendelea na wito

    Ruwaichi sio Cardinal ni askofu mkuu wa jimbo kuu la Dar es Salaam. Pengo bado ni Cardinal ameng'atuka kwenye nafasi ya uaskofu. Amebaki kuwa Askofu mkuu mstaafu na Cardinal.
Back
Top Bottom