Mafaniko huanza kwenye ndoto, na ndoto huwa inaonesha mafanikio yako ila haikuoneshi njia ya mafanikio yako. Mfano unaweza ukawa na ndoto ya kuwa daktari ( ukaanza kuimagine tayari unatoa huduma kwa mgonjwa ) lakin haikuoneshi njia ipi upite ili uitimize hiyo ndoto so hapo ndo jitihada...
Umeongea vizuri lakini unajikosoa mwenyewe, kama kila mtu ana-opinions na perspectives tofauti mbona umemkosoa sasa? Wacha yawe mawazo yake so usipanic bro
Nipo IFM nachukua Computer Science mwaka wa mwisho, kwa ushauri wangu, usiende UDSM hakuna kitu pale wabovu sana bora ukasome siasa ndo wako vzur ila vyuo hiv vifuatavyo ni wako vizuri sana kwenye Practical na theory (Huwezi ikimbia theory kwenye Computer Science ila lazima practs ziwe nyingi...
Mi naona mnapeana moyo tu lakin mm kwa ninavyofahamu ni 3.0 kama minimum specs ya kuapply chuo level ya bachelor.. nina washkaji wengi sana wana 2.7, 2.8 na wengine 2.9 lakini wamesota dar nzima kutafuta vyuo ili waweze kuendelea lakin wap kila wanapogusa wanaambiwa ni 3.0 as a minimum...
Habari zenu ndugu jamaa na marafiki,
Kama kichwa cha habari kilivyo jieleza, nahitaji chumba cha kupanga kiwe kizuri chenye muonekano mzuri nje na ndani. Naweza kulipa 70k mpaka 80k per month so mwenye kufahamu na kujua naomba waje wanisaidie kukipata. Lakini pia hata wale wa kutoa mawazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.