Nahitaji mtu mwenye utaalam wa kutengeneza mobile smart phone application kwa Ios na Android

Tripitaka

Member
Nov 30, 2019
79
150
Habari wakuu!,

Niende kwenye mada moja kwa moja, mimi nahitaji mtu mwenye utaalam wa kutengeneza mobile smart phone application kwa Ios na Android.

Pia naomba msaada wa maelezo kuhusu vigezo na utaratibu wa kumiliki application. Asante sana na karibuni kwa mchango wenu Jf Members.
 
Stefano Mtangoo

Verified Member
Oct 25, 2012
4,925
2,000
kama huna haraka ingia Google na ujifunze kotlin na java...
Ili aanze kutengeneza lini sasa? By the time ana uwezo na uzoefu wa kutosha kutengeneza hiyo app, pengine kutakuwa na mwingine keshamaliza kuitengeneza na iko sokoni.

Kuna sababu wenye akili kama hizi huishia chini. Tafuta fedha, tafuta mtaalamu akutengenezee idea yako. We komaa kupata wateja au kuiuza idea. Sio unahangaika ufanye kila kitu. Utamaliza 2050.55
 
Intel5500

JF-Expert Member
Oct 22, 2019
739
1,000

hahahah nahisi founders wa youtube wangekuwa wajinga na waoga kama wewe sijui kama youtube ingekuwepo leo.....wewe hujiulizi kwanini kabla ya 2004 kulikuwa hakuna Facebook wala mtu kufikiria kuhusu facebook??.

mambo yanaenda kwa muda na mikakati maalum hiyo 2050 kama ndo nilivyopanga je??? sio unakurupuka kurupuka kama ulivyoandika pumbaa hapa.....do not force things just do what you can.....
Africans ndo mana wengi masikini kwa kushindwa kutumia muda na uvivu kama wako wa kimwili na kiakili mnapenda shortcut na rahisi rahisi tu yani simple tu.....pigana mwenyewe acha uvivu au endelea kufa masikini kwa kuogopa kufa.....mawazo mgando...
 
Stefano Mtangoo

Verified Member
Oct 25, 2012
4,925
2,000
hahahah nahisi founders wa youtube wangekuwa wajinga na waoga kama wewe sijui kama youtube ingekuwepo leo.....wewe hujiulizi kwanini kabla ya 2004 kulikuwa hakuna Facebook wala mtu kufikiria hilo??? kuhusu facebook.

mambo yanaenda kwa muda na mikakati maalum hiyo 2050 kama ndo nilivyopanga je??? sio unakurupuka kurupuka kama ulivyoandika pumbaa hapa.....do not force things just do what you can.....
Africans ndo mana wengi masikini kwa kushindwa kutumia muda na uvivu kama wako wa kimwili na kiakili mnapenda shortcut na rahisi rahisi tu yani simple tu.....pigana mwenyewe acha uvivu au endelea kufa masikini kwa kuogopa kufa.....
Sawa Mtaalam!
Niwie radhi kwa kuandika pumba!
 
Superpower

JF-Expert Member
Oct 11, 2018
448
500
kama huna haraka ingia Google na ujifunze kotlin na java...
yeah hivi ndio inavyotakiwa sio kila kukicha. wewe nikutoa pesa tu. Ndio maana Elon musk alianzisha spaceX baada ya kutaka kununua rocket akaona ni gharama Bora atengeneze mwenyewe. Kwenye maisha bwana sio tu kutafuta tu pesa ila Bali pia ni kujifunza vitu vingi ambavyo vitazuia pesa yako kutoka ovyo ovyo
 
Stefano Mtangoo

Verified Member
Oct 25, 2012
4,925
2,000
yeah hivi ndio inavyotakiwa sio kila kukicha. wewe nikutoa pesa tu. Ndio maana Elon musk alianzisha spaceX baada ya kutaka kununua rocket akaona ni gharama Bora atengeneze mwenyewe. Kwenye maisha bwana sio tu kutafuta tu pesa ila Bali pia ni kujifunza vitu vingi ambavyo vitazuia pesa yako kutoka ovyo ovyo
Kwa hiyo kabisa unadhani Elon huwa anakaa kiwandani ana design na kutengeneza rocket na sio kwamba analipa watu wafanyie kazi mawazo yake? Are you this dumb in any other area?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom