Cymon Taylor
JF-Expert Member
- Apr 3, 2019
- 1,762
- 3,446
Hupati chuo never! Acha kuwapoteza watu2.7 unapata chuo kama kawa ila chini ya hapa ndio utata
Hupati chuo never! Acha kuwapoteza watu2.7 unapata chuo kama kawa ila chini ya hapa ndio utata
Acha uongo.. GB ya TCU hujaiona..?2.7 unapata chuo kama kawa ila chini ya hapa ndio utata
Nidanganye ili iweje sasa.. kama hutaki achaAcha uongo.. GB ya TCU hujaiona..?
Chuo unapata kama kawaida mie ndio nimesemaHupati chuo never! Acha kuwapoteza watu
Average ya B ni kuanzia gpa ya 2.7 wakisema average ya B iyo ndio maana yake...lakini kama walitaka tu gpa ya 3 sidhan kama walikua na haja ya kusema awe na average ya B wangekazia tu kua uwe na gpa ya 3 basiView attachment 1516726
Hii nimeitoa kwenye guidebook ya TCU,
ivi hii wanaposema kwenye enntry requirements kwamba.
Either uwe na GPA ya 3.0 or average of B grade. Hii B grade unaipataje. Maana mimi nafahamu mtu mwenye GPA ya 2.7 ya NTA level 6 huyu ana wastani wa B, na pia ni lower second class.
Natamani kujua hio B grade inapatikanaje?
Km umesoma diploma gpa ni ya ule mwaka wa pili calculate hapo wanakuchukua 2.9Aliesoma tcu guide sheet ya mwaka huu ansaidi kunpa taarifa, na je mhitimu wa foundation program ya open anaweza akatuma chuo gan?
Wale wote wanaotaka kuomba mkopo (HESLB) Na wanaotaka kuomba vyuo mbali mbali.
- Nipo kuwasaidia wale wote wenye uhitaji wa ku apply mkopo na chuo. Au kuwaongoza hatua baada ya hatua jinsi ya ku apply.
- Vyote hivyo kuanzia mwanzo mpaka kukamilika nakufanyia kwa bei poa ya elfu tano tu (5,000/= tu)
- Huku nikikupatia na username pamoja na password zako kujihakikishia nilichofany na kuangalia account yko pale itakapohitajika.
- Huduma hii ni kwa wote/popote ulipo ndani ya Tanzania hii. Kila kitu kitaenda sawa. Maan nimepata maswali mengi kwa walio mikoani.
- Nitafute whatsapp au sms za kawaida kupitia namba hizi 0734131743.
- Vitu vyote vinavyohitajika wakati wa uombaji mkopo na chuo nitakueleza ukinitafuta kupitia namba izo apo.
NYOTE MNAKARIBISHWA
kuna vyuo vingine vinafundisha foundation course tofaut na open university?Foundation Programme of the OUT
A GPA of 3.0 accumulated from six core subjects and at least a C grade from three subjects in respective cluster (Arts, Science and Business Studies)
PLUS
An Advanced Certificate of Secondary Education Examination with at least 1.5 from two subjects
OR
An Ordinary Diploma from the recognized institution with a GPA of at least 2.0
OR
NTA level 5 /Professional Technician Level II Certificate.
According to TCU mwaka huu(Kama hapo huna vigezo open bora tu uachane na shule upige mishe zingine)