Recent content by osomatrix incredible

  1. osomatrix incredible

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA: Aqulina Akwilini Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza NIT apigwa risasi na kufariki; Polisi wakiri kuhusika

    Kweli nimeamini adui mkubwa wa watu ni umasikini na ujunga na ndivyo vitu tawala yoyote ya kibadhirifu uikumbatia ili kuendele kunyonya watu....haki sikutaka kuamini kwa kitendo kilicho tokea still kutakua na watu wanakutetea aise uko ulipo Mungu akusamehe kwa tamaa za kidunia tu....#Mungu...
  2. osomatrix incredible

    JamiiForums Tanzania Namna bora ya kukata roho

    Kwa nn mtu aliye mahututi ukimpa maji unammaliza..na jambo sahihi kwa wakati huo ni kumpa maji au kuto kumpa
  3. osomatrix incredible

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Ontario mkuu always the best kwenye thread zako zilizo jaa umakini. .hongera big brother na mm am in kwa kweli na hisi sija chelewa kwenye hao watu 300.God bless you
  4. osomatrix incredible

    JamiiForums Tanzania Utata Juu ya Kifo Cha Rais JF Kennedy

    Inaendelea ln mkuu kama ikiwa tayari ni tag mkuu. Well bila kusahau pongezi zangu za dhati kwako kwa makala nzuri kabisa vry interesting
  5. osomatrix incredible

    JamiiForums Tanzania Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume 18-30years

    Always the best mshana jr
  6. osomatrix incredible

    JamiiForums Tanzania MwanaKJJ Leo: Namuunga Mkono Tundu Lissu; Serikali Ijitathmini Mkakati Wake

    Hili bandiko lako limenisisimua sana uandishi makini sana ulio jaa elimu ya kutosha pia na ushauri nazani ili ndio bandiko bora mwezi wa 3
  7. osomatrix incredible

    JamiiForums Tanzania Msaada hapa wapendwa; Ananipa kila kitu lakini ana kibamia

    Si mnanunuaga madushe ya bandia kanunue ilo la kilometer 12 uwe unapiga nyeto
  8. osomatrix incredible

    JamiiForums Tanzania Ukatili huu uliofanywa na Polisi Simiyu kwa Watoto wa shule, ni aina nyingine ya "ukaburu mamboleo"

    Alafu tukiletewa takwimu za kwamba Africa ndio tunaongoza kuwa na IQ ndogo kutokana na matendo yetu watu wanabisha na kutokwa na misuli na kuita watu wana waabudu wazungu aya ona icho kitendo kilicho tokea kimeidhinishwa na mkuu au kiongozi mkubwa tu na yy kwa uwelewa wake akaona ni sawa tu ku...
Back
Top Bottom