Utata Juu ya Kifo Cha Rais JF Kennedy

Utata Juu ya Kifo Cha Rais JF Kennedy

naomba uwe unani tag maana huwa nakufuatilia sana kwenye nyuzi zako,kila wakati huwa naingia kwenye hili forum ili kuona kama umetoa kitu kipya
Tangu ujiunge JF hujajua tu effect ya ku-quote story ndefu kama hii?
 
Kennedy messed with the wrong people...
Jews (alikua against Federal Reserve System na Israel kua nuclear power nation) Angalia kilicho mkuta Hitler alivyo kua against federal reserve.
The Catholic Church
Bush na wenzake
Corporates behind the Vietnam War
Cuba crisis
Ku Klax Klan

Hawa THE POWERS THAT BE (TPTB) ndio puppeteers wanao pull strings behind any regime.
Kennedy aliingia kwenye anga zao na walimpoteza kama mfano ili viongozi wengine wasirudie kupita njia kama yake.
 
Inaendelea ln mkuu kama ikiwa tayari ni tag mkuu. Well bila kusahau pongezi zangu za dhati kwako kwa makala nzuri kabisa vry interesting
 
Back
Top Bottom