Recent content by osib

  1. osib

    Wanaume mtumie akili sasa, tunazingua

    Bila shaka ww ni shoga
  2. osib

    Dr Lwaitama: Halafu Kuna Watu wananunua Makaratasi ya Yericko eti ni Vitabu. Kama anadanganya mambo mnayoyajua itakuwaje hayo ya Ukraine msiyoyajua!

    Jamaa ni mshamba sana ...mara nyingi akingongwa hoja Kali hawez kujib zaid ya kuanza lugha chafu ....huyu nitapeli kama tapeli wengine
  3. osib

    Muda umefika serikali kuingilia kati kufanya maamuzi magumu kuliko kuiachia TFF pekee

    Wapumbavu pekeee wanaweza kukubaliana naww ....yaani wachezaji wageni wapo kwa asilimia ngapi ktk ligi yetu!?...je wachezaji wetu kwanini hawaendi nje kucheza kwa wingi kupandisha viwango vyao ....ukijiuliza baadhi ya mawali kama hayo ndo utaelewa kuwa umeandika udwanzi .....wachezaji wajitume...
  4. osib

    Ni watu wajinga tu ndo wanaamini kuwa wachezaji wa kigeni ndo tatizo kwa wachezaji wazawa na timu ya taifa

    Wapumbavu kweli....wachezaji wageni wanaathri vip national timu ....kwanini wachezaji wazawa wasitoke nje kama kweli wanauwezo .....maisha ya sasa yanataka kujituma kwa bidii sio kubebwa ...wazawa hawajitumi ...Leo hii wachezaji wageni hawafiki hata asilimia 10 unasema tupunguze ......udwanzi tu...
  5. osib

    Utakatishaji Fedha, Biashara inayoendelea kwa Siri kubwa

    Umekurupuka .unaandika kitu ambacho..huwez kueleza mtu akaelewa ....
  6. osib

    Samia Suluhu baada ya kutembelea ziara Korea Kusini, wamarekani watoa uzushi

    Jifunze kwanza kutofautisha Korea kusini na Korea kaskazini....mana uelewa wako mdogo sana ....
  7. osib

    Baadhi ya watanzania ni wajinga kupitiliza

    Tena mkome kabisa kutoa hizo elimu zenu ...wajinga Sana nyinyi kisa mnalamba posho ndefu kutoka Kwa hao wahisani Wala hata hamjali ...mnapokea tu misaada bla kujali ... nadhani moja ya wajinga Sana ni nyinyi wapokea posho bla kujali nin ....
  8. osib

    Nataka kuigeuza Tsh. 2,000 itengeneze zaidi ya Tsh. Million 1 kila mwezi

    Tafta sehem ya junction...andaa mishkaki saafi mitamu....usiweke milangi langi ile ..choma na kuku hawa wakisasa pembeni...na ndizi mzuzu .... utaenjoy show ....na pia hutahitaji mtaji wote huo ...ikibidi tengeneza na Yale masoseji ya kienyeji .... wengine twaita mabomu yachome vizur...wateja...
  9. osib

    Uzi wa stori za vijiweni

    Sasa hii ndo bdo mbichi kabisa ...meneo ya makambako mkoa wa njombe....unaambiwa kuna dingi mmoja Alikuwa anafanya kazi hpo makambako na familia ilikuwa inaishi hpo .....lakin Mzee kuna eneo alinunua na kujenga nyumba kimya kimya bla kushirikisha familia.., though hiyo familia kwasasa haipo...
  10. osib

    Songea boys, shule kongwe iliyosahaulika

    ....Azimio 4... white house ndo ilikuwa Dom langu...daaa cube kibao kule ...shadooof nin ...wali wa Kwa mama mlokole ...commmoon
  11. osib

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Wamlete Ruben neves wa wolves yule.....ana speed...na accuracy kubwa ya pasi kuliko xhakaboom...
  12. osib

    Tani 100 za Ulezi msafi zina itajika!

    Jamaa kama kweli unataka kufanya biashara ya mazao Kwa Tz hii ww mnunuzi ndo unatangaza ofa yako....ya kununua ...by the way saiz kupata Kwa mkulima ni ngumu ..kwasab sio msimu wa kuvuna ...ila Kwa wafanyabiashara utapata ... sometimes madalali hawaweki Cha juu ila tu tunakubaliana nikikutaftia...
Back
Top Bottom