Recent content by Osiah Mwabungulu

  1. Osiah Mwabungulu

    Rais Magufuli aeleza sababu za kutosafiri nje ya nchi

    Yes you are 100℅ collect mwanangu.Kwanza he already said that he is not a politician but chemistry man whom can count even fish of Indian Ocean and group them by their species.
  2. Osiah Mwabungulu

    Naibu Katibu Mkuu BAVICHA, Getrude Ndibalema ajiuzulu nafasi yake na kubaki mwanachama wa kawaida

    Mmmmh ipi hiyo iliyo ozeana kama mapanga boyi ya Dar to mwanza,Kage(Chato)khaaa kweli mkunwa hukunwa kweli,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12]
  3. Osiah Mwabungulu

    Clouds 360 waishambulia CHADEMA kutopenda kukosolewa

    Yani kitu njaa nikibaya sana kwenye maisha ya mwanadamu hapa duniani Clouds si MWAKA jana hapa waliingiliwa na watu wasio julikana:::wakawafunga midomo bila hata kuinuwa macho.Kweli mwenye shibe,hamjui mwenye NJAA,leo nimeamini kutoka Clouds 360!!!
  4. Osiah Mwabungulu

    Siku kama ya leo alizaliwa mwanasheria maarufu nchini Tanzania, Tundu Lissu huko Ikungi mkoani Singida

    Happy Happy Birthday Simba wa Simba:::Tanzania will always honor Antipas Lisu Tundu!!!
  5. Osiah Mwabungulu

    ARUMERU: Mbunge Nassari anusurika kuuawa kwa risasi na watu wasiojulikana. Wammiminia risasi kama mvua Nyumbani kwake

    Jeru sijawahi ona mtu:::mwenye udhalimu kama wewe Jeru(Zikagwa zimatha mkulu:::::chomwe mukubyala pano muzakolola msogolomo)
  6. Osiah Mwabungulu

    Tabia Nane za watu wapole

    Wenda wazimu kumbe niwengi Tanzania.[emoji12] [emoji24]
  7. Osiah Mwabungulu

    Tetesi: Wabunge kadhaa waanza kuwasiliana kwa ajili ya wao pia kuchukua maamuzi magumu

    Ubunge walichaguliwa na wanainchi wao,kamati nipale Bungeni sasa jaribu kuozanisha ndo utoe hoja yako(EG) ?Makonda ulimpigia kura kama Mukufuli au Sorex aka.
  8. Osiah Mwabungulu

    Tundu Lissu ahojiwa Kituo cha kati kwa kutoa maneno ya Kichochezi ya Uwepo wa njaa nchini

    Tanzania subrini episode yangu 14: yaja karibuni ninzuri naomba msupitwe:Viva Tanzania inchi iliyo jaa demoooooo?????
  9. Osiah Mwabungulu

    Joseph K. Musukuma(Mb): Makonda awekwe ndani aseme anatoa wapi pesa ya kusafiri USA, UK na Dubai

    Mwe mweeeee imbafu sikumbaba nnenyakyusa.Huu mchezo heri kwangalia wakina Bambo.Papa na Nyangumi wala nao sahani moja huwaoni waona dagaa,ama kweli zali mtende hili.
  10. Osiah Mwabungulu

    Madawa ya Kulevya: Sasa Paul Makonda na Kamanda Sirro tunawapima kwa kumgusa Mtoto wa Rais na Daudi Kanyau

    Tanzagiza pole yetu sote,tulio tumbukia kwenye hili janga la unga.Ila hapa episode ya1tayari nasubria episode ya pili nakwenderea.Musukuma kusema,tusidanganyane twanze namizizi matawi yanini.Twende kazi wa Tanzania na Sera yetu:HAPA KAZI TUUU:
  11. Osiah Mwabungulu

    Tundu Lissu akamatwa na Polisi akiwa bungeni Dodoma

    Tanzania yangu tuna kwenda wapi????Giza la mkoroniii linatwandama bado.Leo,Lisu kule Unga(Madawa yakulevya)hapa Madada poa napale shisha,apo Mashoga.kujenga taifa Uturuki ndo aje kujenga,ukikosoa jera,dhamana kwa Trump utapata hapa haipo tena.
  12. Osiah Mwabungulu

    Diamond Platinumz popote ulipo naomba unijibu hili

    Dah nalo neno:wachina lipo hapa la kitanzania.
  13. Osiah Mwabungulu

    Serikali na unyanyasaji kwa Mbowe

    Tanzagiza acha tubakie gizani,Mwana wa Mungu atakapo kuja:Twaja ona mwanagaza,Leo Mbowe kesho nani twaomba kujua,Vipi wadau hakuna mwingine mkwepa kodi Freeman hapa Tanzagiza:Twende tukakusanyie kodi kama sheria isemavyo nasio kuumizana.Halmashauri leo ndo imeamka kwa hapo nyumba haikuwepo...
  14. Osiah Mwabungulu

    Tanzania yaondoka kwenye orodha ya Nchi 50 zenye ufisadi uliokubuhu

    East Africa:tupo namba ngapi naomba kujua,anae fwata baada ya UGANDA nani?Duniani nimesikia tunashika No 116/niwapi tulipo punguza,Je mahojiano ya Dr Ulomi wa Dodoma umeasikia:you can comment now,while it is too early.
  15. Osiah Mwabungulu

    Wanawake waliosoma Sheria (Law) ndio wanaoongoza kuwa 'single mothers' Tanzania

    Dah Azarel uminikosha xana,mm mwenyewe nilijitoa mapema,kuona vifungu vinaletwa kwenye meza wakati wa mlo wa usiku.Naomba Muumba awaone wote:wanasheria Wanawake.
Back
Top Bottom