Tanzania yaondoka kwenye orodha ya Nchi 50 zenye ufisadi uliokubuhu

SON OF THE LAND

JF-Expert Member
Oct 7, 2015
204
210
Kutokuwepo hapo katika hizo nchi nafikiri ni heshima kubwa maana majirani zetu wote wapo na wanaendelea vizuri tu na upigaji

Chanzo: Corruption Perceptions Index 2016

IMG_2647.jpg


176. Somalia: 10
175. South Sudan: 11
174. North Korea: 12
173. Syria: 13
170. Libya: 14
170. Sudan: 14
170. Yemen: 14
169. Afghanistan: 15
168. Guinea-Bissau: 16
166. Iraq: 17
166. Venezuela: 17
164. Angola: 18
164. Eritrea: 18
159. Burundi: 20
159. Central African Republic: 20
159. Chad: 20
159. Haiti: 20
159. Republic of Congo: 20
156. Cambodia: 21
156. Democratic Republic of Congo: 21
156. Uzbekistan: 21
154. Turkmenistan: 22
154. Zimbabwe: 22
153. Comoros: 24
151. Tajikistan: 25
151. Uganda: 25
145. Bangladesh: 26
145. Cameroon: 26
145. Gambia: 26
145. Kenya: 26
145. Madagascar: 26
145. Nicaragua: 26
142. Guinea: 27
142. Mauritania: 27
142. Mozambique: 27
136. Myanmar: 28
136. Nigeria: 28
136. Papua New Guinea: 28
136. Guatemala: 28
136. Kyrgyzstan: 28
136. Lebanon: 28
131. Iran: 29
131. Kazakhstan: 29
131. Nepal: 29
131. Russia: 29
131. Ukraine: 29

===========

Ripoti ya hivi karibuni ya shirika la Transparency International na Global Corruption Index inaiweka Tanzania kama nchi iliyo improve nafasi yake katika KUDHIBITI ufisadi.

Ripoti inasema Tanzania iko kwenye nafasi ya 116 ikiwa na pointi 32 kati ya nchi ya nchi 176 duniani..

Inasemekana ni iliyo improve katika KUDHIBITI ufisadi. Rwanda bado inaongoza Afrika mashariki ikiwa na kiwango kidogo sana cha ufisadi ikiwa kwenye nafasi ya 50 na pointi 54 .

Hata hivyo Tanzania yasemekana kufanya VIZURI katika sana kuzuia na kudhibiti ufisadi.

Wakati Kenya ikiwa kwenye nafasi ya 145 na pointi 26 kama nchi iliyo na ufisadi mkubwa sana duniani Ikifuatiwa kwa karibu na nchi ya Uganda nafasi 151 na pointi 25.

Kenya iko kwenye kiwango kimoja na nchi za Bangladesh. Cameroon, Gambia, Madagascar, na Nicaragua.

Nchi chache tu tulimwenguni ndo zilionekana zikishika nafasi nzuri sana miongoni mwa hizo ni nchi ya Denmark, Finland,Sweden na Norway.
 
kutokuwepo hapo katika hizo nchi nafikiri ni heshima kubwa maana majirani zetu wote wapo na wanaendelea vizuri tu na upigaji
176. Somalia: 10
175. South Sudan: 11
174. North Korea: 12
173. Syria: 13
170. Libya: 14
170. Sudan: 14
170. Yemen: 14
169. Afghanistan: 15
168. Guinea-Bissau: 16
166. Iraq: 17
166. Venezuela: 17
164. Angola: 18
164. Eritrea: 18
159. Burundi: 20
159. Central African Republic: 20
159. Chad: 20
159. Haiti: 20
159. Republic of Congo: 20
156. Cambodia: 21
156. Democratic Republic of Congo: 21
156. Uzbekistan: 21
154. Turkmenistan: 22
154. Zimbabwe: 22
153. Comoros: 24
151. Tajikistan: 25
151. Uganda: 25
145. Bangladesh: 26
145. Cameroon: 26
145. Gambia: 26
145. Kenya: 26
145. Madagascar: 26
145. Nicaragua: 26
142. Guinea: 27
142. Mauritania: 27
142. Mozambique: 27
136. Myanmar: 28
136. Nigeria: 28
136. Papua New Guinea: 28
136. Guatemala: 28
136. Kyrgyzstan: 28
136. Lebanon: 28
131. Iran: 29
131. Kazakhstan: 29
131. Nepal: 29
131. Russia: 29
131. Ukraine: 29

ni heshima kubwa kutokua mmoja wa majambazi, wapigaji wakubwa
ya mwaka gani hii mkuu?
 
kutokuwepo hapo katika hizo nchi nafikiri ni heshima kubwa maana majirani zetu wote wapo na wanaendelea vizuri tu na upigaji
176. Somalia: 10
175. South Sudan: 11
174. North Korea: 12
173. Syria: 13
170. Libya: 14
170. Sudan: 14
170. Yemen: 14
169. Afghanistan: 15
168. Guinea-Bissau: 16
166. Iraq: 17
166. Venezuela: 17
164. Angola: 18
164. Eritrea: 18
159. Burundi: 20
159. Central African Republic: 20
159. Chad: 20
159. Haiti: 20
159. Republic of Congo: 20
156. Cambodia: 21
156. Democratic Republic of Congo: 21
156. Uzbekistan: 21
154. Turkmenistan: 22
154. Zimbabwe: 22
153. Comoros: 24
151. Tajikistan: 25
151. Uganda: 25
145. Bangladesh: 26
145. Cameroon: 26
145. Gambia: 26
145. Kenya: 26
145. Madagascar: 26
145. Nicaragua: 26
142. Guinea: 27
142. Mauritania: 27
142. Mozambique: 27
136. Myanmar: 28
136. Nigeria: 28
136. Papua New Guinea: 28
136. Guatemala: 28
136. Kyrgyzstan: 28
136. Lebanon: 28
131. Iran: 29
131. Kazakhstan: 29
131. Nepal: 29
131. Russia: 29
131. Ukraine: 29

ni heshima kubwa kutokua mmoja wa majambazi, wapigaji wakubwa
Nchi yenyewe haina kitu omba omba utapiga nini?
 
Ripoti ya hivi karibuni ya shirika la Transparency International na Global Corruption Index inaiweka Tanzania kama nchi iliyo improve nafasi yake katika KUDHIBITI ufisadi.

Ripoti inasema Tanzania iko kwenye nafasi nzuri sana duniani kati ya nchi ya nchi175.
Kama nchi iliyo improve katika KUDHIBITI ufisadi. Tanzania na Rwanda ni moja ya nchi zilizojaribu sana kuzuia na kudhibiti ufisadi.

Wakati Kenya ikiwa kwenye nafasi ya 146 kama nchi iliyo na ufisadi mkubwa. Ikifuatiwa kwa karibu na nchi ya Uganda nafasi 149.

Nchi tatu tu ulimwenguni ndo zilionekana zikishika nafasi nzuri sana miongoni mwa hizo ni nchi ya Denmark. Nafikiri hii ni habari njema kwa nchi yetu
Ripoti nzur. Imeshika namba ngap??
 
Ripoti ya hivi karibuni ya shirika la Transparency International na Global Corruption Index inaiweka Tanzania kama nchi iliyo improve nafasi yake katika KUDHIBITI ufisadi.

Ripoti inasema Tanzania iko kwenye nafasi nzuri sana duniani kati ya nchi ya nchi175.
Kama nchi iliyo improve katika KUDHIBITI ufisadi. Tanzania na Rwanda ni moja ya nchi zilizojaribu sana kuzuia na kudhibiti ufisadi.

Wakati Kenya ikiwa kwenye nafasi ya 146 kama nchi iliyo na ufisadi mkubwa. Ikifuatiwa kwa karibu na nchi ya Uganda nafasi 149.

Nchi tatu tu ulimwenguni ndo zilionekana zikishika nafasi nzuri sana miongoni mwa hizo ni nchi ya Denmark. Nafikiri hii ni habari njema kwa nchi yetu
Link Hali mbaya: Makampuni ya simu(Vodacom,Airtel) kupunguza wafanyakazi, ITV yasogeza mishahara mbele

Link2. Magufuli, legeza baba, hali ni mbaya!
 
East Africa:tupo namba ngapi naomba kujua,anae fwata baada ya UGANDA nani?Duniani nimesikia tunashika No 116/niwapi tulipo punguza,Je mahojiano ya Dr Ulomi wa Dodoma umeasikia:you can comment now,while it is too early.
 
Kashifa ya wabunge wa CCM kuhongwa milioni 10 iliripotiwa kwa kiwango gani?

Matumizi ya fedha za serikali bila idhini ya bunge si ufisadi uliohalalishwa?4
Hizo Takwimu Huko Zinakotoka Ndiyo Wezi Wanaotuibia Wanatusifia Ili Watumalize Kimya Kimya Fumbo Kwa Mjinga.
 
Uncle Mangu kafanya kazi hapo
Definition ya ufisadi inanipa shida kidogo. Najua bunge ndilo linaloidhinisha bajeti ya nchi, sasa inapotokea kiongozi akajiamulia kutumia pesa ya watanzania kuendeleza miradi ambayo baadhi yetu tunaona kabisa itasaidia watu wachache sana na ukizingatia vipaumbele, unaona kwamba upendeleo umetumika.

Wadau, semeni ukweli wenu, hapa kuna ufujaji wa mali ya umma au hamna?
 
Tunafukia Makaburi, wakati wenyewe ni wapigaji.Zile Bilioni nane za meli mbovu nani yupo nyuma yake?Au ndiyo Makaburi yenyewe haya
 
Hivi na wewe kwa akili zako unakubali kwamba North Korea rushwa ipo juu? Huyo mchukuaji rushwa north korea nani? Na wale walioambiwa wachukue hela ya kusafisha viatu?
 
Lakini karibu zote naona ni nchi zile ambazo demokrasia imewekwa kapuni.
Inaonekana kuwa kuna uhusiano mkubwa kati ya kukosa demokrasia na upigaji wa madili.
Hivyo ni vyema tukaweka misingi imara ya demokrasia kwani inaonekana wazi kuwa wapigaji hua wanaanzia kuiba kura na kununua wanasiasa kwa kuwahonga vyeo na fedha zinazotokana na wizi.
 
Back
Top Bottom