Recent content by oscarngala

  1. oscarngala

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume asiyetumia kilevi chochote, havuti sigara wala hashabikii michezo namuona kama ana mapungufu

    exactly haswa upungufu wa nguvu
  2. oscarngala

    JamiiForums Tanzania Viwanja vya kistaarabu vya kula bata na wadada classic

    viwanja vipo vingi sana he pesa kwako sio tatizo?
  3. oscarngala

    JamiiForums Tanzania Wasafi Festival Mbeya hali imekuwa tete. Zuchu akimbia Jukwaa

    mke wa pddy anatokaje usa wakati tunaye mwingine hapa bongo
  4. oscarngala

    JamiiForums Tanzania Laptop yangu inakula sana bundle

    haya twende kazi sehemu ya wifi,rightclick wifi yako uliyoconect then bonyeza properties haoo itakupeleka ufungue wifi uliyoconnect tena,bonyeza hapo utaona sehem imeandikwa set as metered connection turn on hapo haito fany update ko utatumia bundl lako mwnyew
  5. oscarngala

    JamiiForums Tanzania Nasema ukweli kuhusu uganga

    daah umenikumbusha mwaka 2018 kuna dada alisema anaumwa sasa kazunguk makanisani kote lakn anapoa kidgo then mapepo yanarudi tena sasa akasema alivyoend kwa waganga kadha walimuambia hayo sio mapepo ni mizim yao inamtaka awe mganga sas yule dada alikua hatak kukubali hiyo hali anavyo nisimulia...
  6. oscarngala

    JamiiForums Tanzania Naomba wazo la biashara kwa mtaji wa Tsh 1.5M

    kwa huo mtaji sijui utafany biashar gan ila usifanye biashara ambayo itakulazim uchukue flemu
  7. oscarngala

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani wataalam wa IT

    unatumia simu aina gani? nyie ndiyo wale huwa mnasema simu zote sawa kikubwa mawasiliano
  8. oscarngala

    JamiiForums Tanzania Siwezi kuandamana hata siku Moja ni ujinga

    KMLYK
  9. oscarngala

    JamiiForums Tanzania TANESCO naomba maelezo ya kina, nimechanganyikiwa (Kuhusu Kununua Luku Na Units Unazopata)

    Hii imenikuta na mm wamenibambia deni la 6000 nikapiga simu wakasem ndiyo ipo hivo Japo mm sidaiw na sio kwako tu kwa kifupi huu mwezi kama huna 10000 umeme hupati
  10. oscarngala

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Producer Mikka Aleksanteri Kari A.K.A Mika Mwamba

    Comment yangu
  11. oscarngala

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wa iPhone acheni ushamba na ulimbukeni

    Android ndiyo zinakaa mfukoni I phone inashikw mkononi
Back
Top Bottom