Recent content by oscarfilimbi1965

  1. O

    JamiiForums Tanzania Majangili waliotungua Chopa, wahukumiwa miaka 60

    Lost id,ni kweli hii itakuwa hukumu ya kwanza kutolewa faster baada ya watuhumiwa kukiri,nadhani huyu hakimu anasoma sana alama za nyakati hataki naye kuwekwa Mtu kati kuanza kuhojiwa na wakuu wake,tofauti na hapo mahakimu ni kama miungu watu wakiwa ktk mimbari,hakimu anaamua kuahirisha kesi...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais wetu, tunaomba angalia Halmashauri ya Wilaya Nsimbo-Katavi

    Chengelai hongera kwa kuweka wazi hivyo vijipu uchungu kwenye Halmashauri ya Nsimbo,nami sijajua ule Mradi wa Maji ya Bomba na Visima pale Usevya uliishia wapi?maana matanki yalisambazwa hadi yakajitobokea menyewe chini sikuona cha Maji wala nini,Mzee Chagonja anakuja huko kama RAS,ni...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayoendelea Wizara ya Elimu ni aibu tupu

    Mimi kitu kilichonikoroga huko Wizara ya Elimu ni huu mfumo wa ufundishaji kuwa tofauti kila uchao ktk Kanda au mikoa tofauti,zamani ilikuwa mwanafunzi akihama na wazazi wake toka mkoa mmoja kwenda mwingine atakuta Mfumo wa masomo na vitabu ni vile vile mpaka uniforms Kaptula Khaki Amerika na...
  4. O

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayoendelea Wizara ya Elimu ni aibu tupu

    Kapwila kwa muda huu wale woote Team Lowasa,wangekuwa wanakojolea mikojo watu barabarani,wangegawana rasilimali zote,vitalu vya uwindaji na mbuga zake,mitambo na vitalu vya gesi asilia,Tanesco ingetangazwa kufilisika,Bandari zote wangepewa watu TICS kwa mikataba mirefu zaidi,TRL ingeuzwa kwa bei...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Fikiria leo hii Lowassa angekuwa Rais!

    Sibonike acha kunichana mbavu zangu,kwamba ktk huo ukaguzi wa Chachandu mh kavua miwani usoni au kazilegeza ili iwe rahisi kuziona,Kwa kweli kuna vitu ambavyo havitamkiki kirahisi tena mbele ya kadamnasi ya watu au Waheshimiwa wabunge la nchi kubwa yenye watu wanaokadiriwa kufikia milioni...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Fikiria leo hii Lowassa angekuwa Rais!

    Kapwila nasema toka moyoni mwangu bila kumumunya maneno Said Kubenea MB wa Ubungo ninamuogopa mno,makala zake mimi nilikuwa mmoja wa wasomaji wake wakubwa na nilikuwa kila Nakala ikitoka ni lazima niinunue kama ilivyokuwa RAI enzi hizo,maana alimchamba vya kutosha Lowasa na Ufisadi wake kwabmuda...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Shahidi: Kubenea alimwambia DC Makonda ni kibaka, mpumbavu, mjinga

    Njie watu wa ajabu sana vitu kama huvijui kaa kimya,kwenye majeshi cheo au Force Number ni jina la kwanza then jina halisi ni ubini,naona mnabishana na kutoleana kauli zenye ukakasi,pia kesi mtu hashindi kwa shahidi mmoja bali kwa mtiririko wa vielelezo na mashahidi kadhaa.
  8. O

    JamiiForums Tanzania Lowassa akiwa kijiweni baada uchovu wa kisiasa

    Mambo mengine bwana ya ajabu kweli,yaani awe ktk Enzi na Madaraka ya Waziri Mkuu akae kwenye Tofali ili kupokea taarifa,ni mara ngapi tumeshuhudia viti vya wakuu vikisindikizwa kwenda mikoani kwa escort?akili za wengine changanya na zako baba,hapo mzee Mamvi kachoka mno,akubali matokeo na awe...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Watu 9 waliohusika kutungua chopa na kumuua rubani wakamatwa

    Ni shida sana humu jamvini mtu kusema pumba tupu za kukandia kuonyesha kwamba serikalini hakuna wajuzi wa mambo ya Upelelezi waliobobea,so mtu anaharisha upuuzi kuonyesha hamna kazi inayofanyika,nchi zilizoendelea wanajua kwamba Tanzania kuna watu wenye uwezo mkubwa kuliko walivyodhani wao,mfano...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Chenge: CCM wanamtengeneza Lowassa mpya?

    Kwa miji-issue iliyomkabili Nyoka Makengeza kuhusu kashfa ya Vijisenti,Kibri ya kugomea mamlaka kuhojiwa juu ya tuhuma zile,Kama ingekuwa Korea angewekwa kwenye uwanja wa Shabaha ya Makombora ya masafa marefu ili asionekane tena!
  11. O

    JamiiForums Tanzania Nchi iko salama Kamanda, Wakuu wamwambia Rais Magufuli!

    Huyo mumsamehe bure tu hajui anenalo kazi yake ni kupayuka kama Zuzu,wapo watu ktk nchi wanapeana zamu kuhakikisha jua hili linazama Magharibi na kesho linachomoza Mashariki watu milioni karibia Hamsini wanaendelea kulijenga Taifa lao la Tanzania,wanaosimamia hayo ni hao Wana Usalama Wakuu ambao...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Nchi iko salama Kamanda, Wakuu wamwambia Rais Magufuli!

    Hata kama angeweka gongo poa tu,huyo ni rais wetu mpendwa kwani kuna shida gani
  13. O

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tanzania kununua Ndege mpya 5(regional jets) aina ya Bombadier

    We Pelle mza usinichekeshe kuhusu sound zilivyokuwa zikiimbwa wkt ule mipango na mbinu zilizokuwa zimepangwa namna ya kuyabeba masalia ya yule mjusi mkuubwa aliyechimbwa mikoa ya kusini,na kwamba mahali pa kuja kumhifadhi pamekwisha andaliwa,so wale watalii waliokuwa wakitoka pande mbalimbali za...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tanzania kununua Ndege mpya 5(regional jets) aina ya Bombadier

    Na kama ndivyo litakuwa jambo jema,ndege ziwe mpya na siyo mitumba iliyopakwa rangi na kubadilishwa seat cover basi siku mbili tatu zinakuwa midoli ya kuchezea watoto kama ile iliyotelekezwa pake KIA,angalizo hao watakaoingia mkataba wa kulipia hizo ndege waje na bei halisi toka kampuni...
  15. O

    JamiiForums Tanzania Membe, honestly hatukuelewi!

    Mmh jamani Kingunge yupo nchi hii aliyoitabiria kuchimbika na kutokalika!maana duh nikiyakumbuka matamshi yale na kilichopo kwa sasa siamini
Back
Top Bottom