http://news.bbc.co.uk/1/hi/world/europe/8430118.stm
A shaken Pope Benedict has celebrated Christmas Eve Mass in St Peter's Basilica shortly after being knocked over by a female spectator. The woman, said to be mentally unstable, managed to grab him by his vestments near the neck as a security...
jama nimeuliza hilo swali kutaka kuelimishwa kwa wale wote wenye ufaham kuhusu hili manaa nimeona likitiliwa sana mkazo kiasi kwama bila ya huo mti basi kama haijasheherekewa.
nafasi hio tunakaribisha majibu.
wivuuuu mbona dini yetu inazidikukua tena leo mimi nikienda china ni ongoza ibada bila ya wasiwasi ...lol
we utaweza kuongoza ibada china kwa kiswahili..?
wajua nyinyi makafiri ni laana ya mwenyez inafanya kazi,.......yani jinsi munavyochukia uislam inaonyesha wazi kunamaradhi kwenye mioyo yenu.
sasa hawa wazungu hatawakiua waislam kiasi gani hata hamshtuki...tatizo ni pale tu wale waliouliliwa ndugu zao wanapolipiza ..basi magaidi ...huu ni...
Three new planets have been found orbiting a nearby star that is almost identical to the Sun. Skip related content
Related photos / videos
Three new planets discovered
The planets, forming a mini-solar system, circle the star 61 Virginis which is just 27.8 light years away and can be seen...
jama oneni maradhi haya ya ukafiri ......ha ha ha ha ha
sasa swali ni dogo tu wapi yesu kasema waziwazi kuwa yeye ni mungu na mumuabudu yeye yesu.....ili tumalize wazizi bila ya kujificha labda labda hiii inamaaanisha uwehu.
haya mafunzo ya paulo yanakuchanganya kule tulikuwa na thread inaitwa utatu wenye utata kaisome uelewe.
kwanini manabiii wa kale wa hio unayoita bable hawakuabudu utatu ?
au mungu wa utatu hakuwepo kindi hicho.?
mi naona utakufa kwa chuki na inaelekea hulali usiku ...kwa uchungu wa kuchukia uislam...sorry about dat it won`t work.
quran.61.8
8. Wanataka kuizima nuru ya Mwenyezi Mungu kwa vinywa vyao. Na Mwenyezi Mungu atakamilisha nuru yake ijapo kuwa makafiri watachukia.
HUYU KWELI MIREMBE...NUKUU YAKE KWENYE THREAD NYINGINE..MAX
Kumbuka Wakristo hawasemi wala amini kuwa Mungu Baba ni Yesu, bali ni Baba ya Yesu, inter-alia, Yesu ni Mungu Baba kama mnavyo amini ninyi wafusi wa allah, kuwa YESU ni Baba ni Roho. LOL.
AKILI NI MALI
kwa kwakukusikitikia inaonyesha huna ufaham kuhusiana na mambo ya dini na ninakushauri kwa usome dini zote bila ya upendeleo kisha utafakari yale ulioyasoma.
2. Muislam anaposema yesu sio mungu wala sio mwana wa mungu sio tusi wala sio kuwatukana wakristo ....hio ni moja katika imani ya uslam...
ndugu naomba mfahamu kwamba kuna tofauti kubwa kati ya muislam halisi na yule anajiita muislam na mkristo halisi na yule anaejiiita mkristo sijui kusudio lenu na kundi gani kati ya hayoniliotaja..?
Pia katika maswala ya kuongoza nchi mimi mtazamo wangu ni kwamba kama nchi (tanzania) itaongozwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.