Recent content by orangutan

  1. orangutan

    TANZIA Aliyekuwa Mtangazaji wa Kiss FM na RFA Dee7 afariki dunia

    Sharbano Aboubakary aka Sherry
  2. orangutan

    TANZIA Aliyekuwa Mtangazaji wa Kiss FM na RFA Dee7 afariki dunia

    Yeah. Kipindi cha ule upepo wa corona
  3. orangutan

    TANZIA Aliyekuwa Mtangazaji wa Kiss FM na RFA Dee7 afariki dunia

    Juma Ahmed Baragaza, Muhsin Mambo, Fred 'Fredwaa' Fidelis, Zuberi Msabaha (mzee wa bolingo time), Prince Baina Kamukulu na sasa ndugu yetu Dee7. Nadhani ni mipango ya Mwenyezi Mungu, na sio msongo wa mawazo kama unavyosema.
  4. orangutan

    TANZIA Aliyekuwa Mtangazaji wa Kiss FM na RFA Dee7 afariki dunia

    Bado wanafamilia hawajaweka bayana..
  5. orangutan

    TANZIA Aliyekuwa Mtangazaji wa Kiss FM na RFA Dee7 afariki dunia

    Dee7 (jina lake maarufu) aliekuwa mtangazaji wa radio Kiss FM ya jijini Mwanza amefariki dunia hapo jana tarehe 23.09.2023. Kwa wale waliokuwa wapenzi wa kipindi cha African Beats pale Kiss FM mtakuwa mnaikumbuka vyema sauti yenye mamlaka ya huyu ndugu yetu na bila kusahau mchango wake mkubwa...
  6. orangutan

    Gabo: Mimi najituma ila kuna watu hawaoni nikijituma

    Kati ya vitu vinavyonikera kwenye mabasi ya mikoani ni kuweka muvi za hawa majamaa wa bongo muvi. Safari huwa inaharibikia hapohapo
  7. orangutan

    Mwalimu mkuu abaka mjukuu, baba abaka mtoto

    Nyie mnashangaa dogo kuzaa akiwa na 12 years. Nina mdogo wangu hapa ana miaka 9 ameshampa girlfriend wake ujauzito. Leo nilikuwa kumsindikiza kucheki ultrasound. Ni mimba ya mapacha.
  8. orangutan

    TANZIA Msanii Golden Jacob Mbunda(Godzilla) afariki dunia

    All in all, njia yetu ni moja na mwenzetu amefanya kutangulia tu. Rest Easy Champ.
  9. orangutan

    TANZIA Msanii Golden Jacob Mbunda(Godzilla) afariki dunia

    Dih ndoto za kijana mwenzetu zimekatika mapema sana. Ila jamaa alikuwa anabehave strangely recently nadhani kuna kitu hakikuwa sawa na kilikuwa kinamtatiza kiakili na kiafya pia.
  10. orangutan

    Movie ya kutisha “The Nun 2018” weka mbali na watoto

    Binafsi mi ni mpenzi sana wa horror movies. Ila kwa mwaka 2018 horror movies bora kwangu ni 'The Hereditary' pamoja na 'The Nun'. Ila The Hereditary imekaa kijanja zaidi na inatisha kishenz.
  11. orangutan

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Salio likiisha channel pekee inayobaki ni Star Guide tu!
  12. orangutan

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hadi hapo Arsenal itakapokuwa na uwezo wa kucontrol tempo za big games na kupata points tatu i am still not very optimistic with Unai Emery's reign at the Emirates. Game tatu so far against the big boys msimu huu: Tukachezea kwa Man City palepale Emirates, Tukachezea kwa Chelsea away, na juzi...
Back
Top Bottom