Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,587
- 17,532
NajitahidiKuwa na busara kijana, matusi yanini sasa!
NajitahidiKuwa na busara kijana, matusi yanini sasa!
FaizaFoxyInawezekana kabisa. Huwa hatuyasikii tu.
Kaongelea kuwa inawezekana kweli ikafanyika sababu ya baridiKwani FaizaFoxy ameongea kipi kinacho mstahili mitusi? Hajaongelea excuse, yeye ameongelea possibility inayopelekea watoto kuweza kujihusisha na mambo yale katika umri mdogo.
Huko hata mambo ya kupotea watoto na viungo vya albino yalishamiri. Unachokikataa ni nini, kama unafahamu na kwengine weka wazi.FaizaFoxy
Upo! Hoja yako hapo ni ipi?
Mwenye miaka 12 naye alibakwa akapata mtoto?
Halafu una unajumuishavkuwa huko yaani Mbeya wanafyatuana wakiwa na umri mdogo
Why do you generalize? Hii ni makosa binafsi hayawezi kuwa ya jumla jumla
Hatuwezi sema kama Bukoba kuna mwadilifu Kaishozi basi mkoa mzima ni waadili. Si kweli. This is indivifual csse
Wewe hata maana ya "excuse" huifahamu.Kwahiyo excuse yako unaipeleka kwenye baridi?!??!? Mwanaizaya mkubwa wewe.
Ajuza punguani wa head
Huyo "girlfriend" ana miaka mingapi?Nyie mnashangaa dogo kuzaa akiwa na 12 years. Nina mdogo wangu hapa ana miaka 9 ameshampa girlfriend wake ujauzito. Leo nilikuwa kumsindikiza kucheki ultrasound. Ni mimba ya mapacha.
Hah hah hahkastarehe ka dakika 3 na sekunde 47 kamemkosesha babu kikokotoo chake inawezekana pia na ka umri kake kaliko salia anakakamalizia kwa nguo za rangi ya machungwa.
Ila we miss zomboko kila siku habari unazotuletea humu ni za majanga tu, hivi kweli unakosa hata habari nzuri za wakulima wa korosho kuwanywisha soda mbuzi wao jamani?
Maendeleo hayana chama
Duuhh " Dunia kweli lukumba lukumba ... Mtoto anatarajia kujizaaNyie mnashangaa dogo kuzaa akiwa na 12 years. Nina mdogo wangu hapa ana miaka 9 ameshampa girlfriend wake ujauzito. Leo nilikuwa kumsindikiza kucheki ultrasound. Ni mimba ya mapacha.
Bukoba, Shinyanga, Mwanza, Mslawi orodha ni ndefuHuko hata mambo ya kupotea watoto na viungo vya albino yalishamiri. Unachokikataa ni nini, kama unafahamu na kwengine weka wazi.
Halafu Bahati mbaya kwake huwa tunamsingiziaDuh!! Kuna mambo tunayafanya binadamu hata ibilisi/shetani anashika kiuno kutushangaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado, ingiza tenaWewe hata maana ya "excuse" huifahamu.
Vipi, imekuingia?
Sikushangai, wa kanisa lipi wewe?Bado, ingiza tena
Tuwekee na matukio ya huko ulipopataja. Huoni mleta mada alivyofanya?Bukoba, Shinyanga, Mwanza, Mslawi orodha ni ndefu
Sidhani ka mwili unaweza mpelekesha mtu kiasi hicho haseHapa mzee kabikisa mwaka mmoja apate mafao kala n'gombe mzima kasoro mkia hizi tamaa za mwili zinatupeleka pabaya
Well said mkuu "Ibilisi ni mbuzi wa kafara wa makosa ya binadamu.