JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania
Oca
Thanks mtazamaji
Ningependa kufanya 1Z0-051 na 1Z0-052, sasa namalizia kusoma 1Z0-051 and
Oracle® Database SQL Language Reference11g Release 2 (11.2)
, lakini nahitaji mawazo zaidi na mbinu nyingine hasa kwa watu wenye experience kama wewe.
Naomba msaada wako wa tricks za kushinda hii...