Recent content by Opuk Jater

  1. Opuk Jater

    African Satellite World and Sat Gear

    Is there any FTA Channel where i can watch CAF Competitions?
  2. Opuk Jater

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kitamu haswa kama mpishi anajua kazi yake
  3. Opuk Jater

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Joto likizidi sana MBEGU ZA KIUME ZINAKUFA MAPEMA KABLA YA MUDA
  4. Opuk Jater

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mnoooo! Ndo jibu alilotoa mke wa mtu alipoulizwa na mchepuko kama amefurahia show yao ya kwanza, nami nikiwala chabo
  5. Opuk Jater

    Kwanini watu wanapenda kuigana kununua magari?

    Mbona nyingi tu, yale Mark 2 na Cresta Balloon ndo bei zao
  6. Opuk Jater

    Kwanini watu wanapenda kuigana kununua magari?

    Badala ya kuelewa sentensi yeye anatafsiri maneno 😁😁😁
  7. Opuk Jater

    TANZIA Mbunge wa Newala Vijijini, Ajali Rashid akutwa amefariki katika Gesti ya Mingoyo

    Mwaka wa uchaguzi huu wala hauhitaji Utabiri wa TB Joshua 🤔
  8. Opuk Jater

    Binary Options Trading

    Nimeishia App za binary option kuzifanya Game tu maana review nyingi ni mbaya zimeniogopesha naona wanalia hela hazitoki...
  9. Opuk Jater

    Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

    Your Story resembles mtu fulani anaitwa John siku hizi yuko Mwanza.. The same girlfriends name Mary, alipata mtu Airport na walikuwa wanakaa M'nyamala...
  10. Opuk Jater

    Eti Crown CC 2490 ni gari sahihi ya kuanzia maisha kwa watu wa kipato cha chini?

    Nilifikiri mi ndo huwa navuta mneli peke zangu kumbe tuko wengi 😂😂😂
  11. Opuk Jater

    Kilimanjaro yaendelea kuwa kinara wa elimu

    Ndugu hayo yote unayoyasema ni 100% correct but still ni matokeo yaliyoletwa na MZUNGU aliyefuata Mlima ndo nami nasema mumshukuru... Sasa whether mko na akili ya kuyaendeleza waliyoyaacha au hamkuyaendeleza that was none of my concern, sawa? 😁😁😁
  12. Opuk Jater

    Kilimanjaro yaendelea kuwa kinara wa elimu

    Kwa huu uelewa basi Mama Ndelichako yuko na kazi si kitoto. Naona umeyashambulia maneno niliyoyaandika kwa mbwembwe bila kuelewa sentensi niliyoiandika... 😂😂😂😂
  13. Opuk Jater

    Kilimanjaro yaendelea kuwa kinara wa elimu

    Yaani ukitaka kujua Tanzania nako kuna ukabila nenda Muhimbili NH, kuna tifu la Wahaya, Wasukuma na Wachaga.. Yaani kila idara iko populated na kabila mojawapo fulani... Nakumbuka kuna jamaa wakati tuko tunafanya baadhi ya vitu fulani vya kimasomo huko wodini aliulizwa kuwa kaja kufanya nini...
  14. Opuk Jater

    Kilimanjaro yaendelea kuwa kinara wa elimu

    Ndo maana nimesema wamshukuru Mungu aliwapa ule Mlima uliowaleta Wazungu...
  15. Opuk Jater

    Rose Muhando kama hii ni kweli Mungu amsaidie

    Si wanasema hapo ameanguka kiimani??? 😁😁 Itakuwa bado kawatilia ngumu wale jamaa zetu wanaenda na kiki maana wangemwita kwenye mabanda yao ya biashara.😎
Back
Top Bottom