Recent content by Opot opot88

  1. O

    JamiiForums Tanzania Je, hii ndio asili ya mtu mweusi?

    Samahani kwenda nje ya mada.hua nasikia waislam wanaupinga utatu mtakatifu ila Kwa andiko hili ulilolileta LA koran " hakika tumekuumbeni".Hapo Allah anasema tumekuumbeni kaumba na nani?utatu mtakatifu ni halisia au sio??mniwie radhi kua nje ya mada
  2. O

    JamiiForums Tanzania Naombeni mawazo yenu kwa adhabu anayo staili Mwanamke msaliti iwe fundisho

    Kua kama yanga na tumsemo twaoo...daima mbele nyuma mwiko.msemo huu wa yanga na kwenu wapenda nyumaaa.yanga ishatuambia mwikoo mbele daimaaaaa.mkuu we we geuka uwe mshabiki wa yanga..yani uwe muyanga huyo msichana utamuona daima mbele nyuma mwiko
  3. O

    JamiiForums Tanzania PADI WUBONN mkenya huyu akiigiliziia wimbo wako anakupotezaaa kabisaaa

    Sina ukenya wowote.acha wivu
  4. O

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima anyimwa UNEC kwa kutofautiana na Mzee Jakaya Kikwete

    Simkubalii huyu ni mnafiki sanaaaa.alimtafuna kondoo mzurii situlimuonaa???? Afu analiita jina LA Bwana wa majeshi wa Israel.wakati wa hoja ya makamu wa raisi alipewa nafasi na spika kakasimama kakanukuu maneno ya Pierre Likud et konki faya juu sijui mawingini....nyeeef nyeef nyeef mnafiki...
  5. O

    JamiiForums Tanzania PADI WUBONN mkenya huyu akiigiliziia wimbo wako anakupotezaaa kabisaaa

    Huyu mkenya comedian akiigilizia wimbo wako utanuna anakupoteza.drake Mwenyewe alinuna ule wimbo wake wa gods plan mpaka akamnunia huyu mkenya.ila kiukweli Jamaa in balaa
  6. O

    JamiiForums Tanzania Alama ya jicho moja: Je, ni ishara katika vikundi vya siri, ishara katika Uungu (Ukristo), ishara ya Mungu wa Misri au uwakilisho wa mpinga Kristo??

    Hua nakuheshimu sanaaa da Vinci.we mjuvi wa mamboooo.kongole kwako mkuu.nakufatiliagaa
  7. O

    JamiiForums Tanzania Dalili gani zinakujulisha kuwa umri umesogea?

    Kila naemuona rika langu ananiita bro...mi Mwenyewe redio nayoisikiliza nimekua redio free Africa ,sipendi miziki ya vijana yani mkianzisha Mada za nyimbo za vijana wa bongo siwajuii yani nakua sitambui chochote.yani bongo najua alikiba,diamond,Huyo harmonizer (kwa sauti ya mwenda zake)
  8. O

    JamiiForums Tanzania Je, biblia ni copy & paste ya hadithi za kale za kipagani na sio UHALISIA?

    Dah we Jamaa sio wa pole poke kiukweli una maarifa saaaaaaana.nimesima Uganda primary na tumesoma ndio historia ya MTU wa kwanza kuishi Uganda aliitwa.nakumbuka tulikua tunajibu Kintu was the first man to live in Uganda.nimekua mpenzi wa muvie za kigiriki Sana na hayo majina kama...
  9. O

    JamiiForums Tanzania JamiiForums V.A.R

    Hii ya museveni imetengeneza jumapili yangu
  10. O

    JamiiForums Tanzania Tuweke ukweli hapa; nini hasa chimbuko la ugomvi wako na jirani yako?

    We unaona ni mchai chai tu??je juhudi zangu za zaidi ya miaka mitatu kupambana mchai mchai ukue huoni??miaka 3 na zaidi mchai mchai haukui???kwahio aendelee kunionea tuuu??
  11. O

    JamiiForums Tanzania Tuweke ukweli hapa; nini hasa chimbuko la ugomvi wako na jirani yako?

    Wakuu nimepata dawa ya huyu mama mshenzi anaekata mchai chai wangu.nimemuendekeza sana amenionea sanaaa.amerudia kukata mchai chai wangu bana.nilichofanya niliamka SAA Tisa usiku nkaenda kwenye mlango wake nkakuta vi yebo yebo vya watoto wake na Ndala zake.nilichukua ule wembe wa theatre...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais Samia yuko serious kweli katika kuunda Kamati Maalumu ya Corona? Mbona haoneshi mfano wa kutilia maanani ugonjwa huu?

    Kwendeni zenu na korona yenu.mwenda zake Ali tackle vizuri issue ya korona.korona ni propaganda tu.Siku huko kwenu ika kwetu ninapoishi sioni watu wakifa hovyooo maisha yanaendelea kama kawa.korona korona kila Siku wimbo huu tu.nyie na wazungu wenu kwendeni huko.korona kwenu na wazungu wenu...
Back
Top Bottom