Recent content by Operator

  1. O

    Natamani....(I wish)

    Natamani mawaziri wengine wajiuzulu.
  2. O

    Nauliza kwa waliopata mkopo

    Hapa nkweli kabisa. Lazima alipe fedha za usajili kwanza. Akishajisajili chuoni ndio anaweza kupata huo mkopo. Na kama atakua amepata 100% atarudishiwa hizo fedha endapo akidai.
  3. O

    Msaada; Mkopo kwa wanaoingia vyuo vikuu 2011/2012

    Ok. Kama kweli nimefunguka akili thank for your advice.
  4. O

    Msaada; Mkopo kwa wanaoingia vyuo vikuu 2011/2012

    <br /> <br /> thanks. Nimekusma mtu angu
  5. O

    Msaada; Mkopo kwa wanaoingia vyuo vikuu 2011/2012

    Wapendwa wanajf. Habari za mda huu. Nnaomba kwa yeyote anaefahamu anijuze. Mimi natarajia kujiunga na chuo mwaka huu na nmepata mkopo kutoka bodi ya mkopo, kinachonisumbua ni hiki. (1)hizo fedha ntazipata kwa njia gani na wakati hawana accaunt no. yangu? (2)chuo cha private ntasajiliwa bila fedha?
  6. O

    Katoa mimba, dokta aliyemtoa anamtaka kimapenzi. je afanyeje?

    Pole sana ndugu. Kitu kizuri kula na mwenzio. Huyo docta alionja hiyo siku mlivyoenda kwa mara ya kwanza akanogewa sasa anataka tena.
Back
Top Bottom