Msaada; Mkopo kwa wanaoingia vyuo vikuu 2011/2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada; Mkopo kwa wanaoingia vyuo vikuu 2011/2012

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Operator, Sep 19, 2011.

 1. O

  Operator Member

  #1
  Sep 19, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Wapendwa wanajf.
  Habari za mda huu. Nnaomba kwa yeyote anaefahamu anijuze.
  Mimi natarajia kujiunga na chuo mwaka huu na nmepata mkopo kutoka bodi ya mkopo, kinachonisumbua ni hiki. (1)hizo fedha ntazipata kwa njia gani na wakati hawana accaunt no. yangu? (2)chuo cha private ntasajiliwa bila fedha?
   
 2. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  chuo chocchote huwezi sajiliwa bila pesa unless uwe umepata mkopo 100%,otherwise kua mpole acc no mtaandika chuoni.
  ONYO- usiifanye hiyo pesa ka pombe allowance
  masomo mema
   
 3. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 838
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Utakapofika chuoni,baada ya kufanya usajili utaandika account no. Yako ambayo itatumwa na chuo chako kule bodi ya mikopo. Na tatizo ni kuwa karibu vyuo vingi vinalazimisha mwanafunzi kulipa nusu ya ada ndipo apate usajili. Sasa hilo ni suala lako na chuo. Ila hata kama unapata 100% ada itakapotumwa utakuwa na haki ya kudai kurudishiwa kile kiasi ulicholipa hapo mwanzoni.
   
 4. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,669
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  duh,tafuta kama m1 hv,ndo uende chuo,ukienda empty walleted,yatakukuta makubwa,heslb sio watu wa kuwategemea hata kdogo,
   
 5. O

  Operator Member

  #5
  Sep 19, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  <br />
  <br />
  thanks. Nimekusma mtu angu
   
 6. O

  Operator Member

  #6
  Sep 19, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ok. Kama kweli nimefunguka akili thank for your advice.
   
 7. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #7
  Sep 20, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,136
  Likes Received: 7,388
  Trophy Points: 280
  Kwani hukujaza acc. no. kwenye form wakati wa kuomba huo mkopo?
  Sioni kama inaleta maana ukishafika chuo ndio utumiwe hela, je kama huna hata kianzio na umepata 100%??!!
  Anyway, kwa nchi hii chochote kinawezekana!!
   
Loading...