Recent content by Onyix

  1. Onyix

    JamiiForums Tanzania Je, pesa za Tanzania zinaongozwa kutumika kwenye Ushirikina?

    Nimefanya utafiti mdogo kwa baadhi ya nchi nilizotembelea na nikalinganisha na nchi yangu pendwa Tanzania. Baada ya utafiti nimegundua Pesa ya Tanzania inatumika sana kwenye Imani za kishrikina. Najiuliza je ni kweli Tz kuna ushrikina hasa huu wa chuma ulete, maana noti nyingi za Tanzania...
  2. Onyix

    JamiiForums Tanzania Rozary ipi kwako ni sala pendwa?

    Rozari ya huruma ya Mungu
  3. Onyix

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuchangia hela ya mafuta ukiwa unapewa lifti ya gari kila siku?

    Bro kama ulikuwepo asee na ndio anafanya hivyo
  4. Onyix

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuchangia hela ya mafuta ukiwa unapewa lifti ya gari kila siku?

    Naomba kuuliza kwa Wadau. Hivi kuna haja ya mtu anayekupa lift (Msaada wa usafiri kwenye gari) kila siku kuchangia mafuta kwenye gari lake, ..!? Au unatakiwa uuchune uwe Shock absorber tu kwenye gari la watu..!!
  5. Onyix

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa uimara na ubora wa Honda Crossroad

    Wadau nahitaji kununua gari aina ya Honda CrossRoad naomba ushauri kwa watalamu hasa kujua uimara, vifaa na utumiaji wa Mafuta.
  6. Onyix

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amefanya kila njia nizae naye

    Namkumbuka Mh. Pombe Magufuri alikuwa anapenda kusema sisi ni Donor Kantiri
  7. Onyix

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amefanya kila njia nizae naye

    Hahaha eti sperm donor..
  8. Onyix

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amefanya kila njia nizae naye

    Haya bana
  9. Onyix

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amefanya kila njia nizae naye

    Hapana hata simfahamu
  10. Onyix

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amefanya kila njia nizae naye

    Wadau habari, Mimi ni kijana wa Makamo nina maisha mazuri tu na sijaoa. Sasa kuna Dada mmoja tulikaa naye mtaani(familia zetu) baada ya muda mrefu tumeonana nae nae baada ya mimi kuhamishiwa kikazi Mwanza. Uyo dada kaolewa na ana muda mrefu kwenye ndoa lakini hajabahatika kupata mtoto... kwa...
  11. Onyix

    JamiiForums Tanzania Code gani ametumia Fid Q?

    Habari wakuu.. naomba kuuliza ni Benki gani nzuri kwa ajili ya mkopo ukiwa ni mfanyakazi wa serikali.
  12. Onyix

    JamiiForums Tanzania NMB tuoneeni huruma, kiwango mnachokata baada ya kuomba risiti ni sh10,000 -- ni kubwa mno

    Haitoki automatic unaulizwa unahitaji receipt unaponyeza yes au No
  13. Onyix

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimemuona Malaika

    Jani korofi sio zuri..
  14. Onyix

    JamiiForums Tanzania Leo nimetimiza miaka 30, sijawahi miliki hata Godoro

    Usikate tamaa kabisa.. kosa la kwanza kufanya ni kukata tamaa, kujilaumu unaruhusiwa ili nafasi ipate changamoto, ila sio kukata tamaa..
  15. Onyix

    JamiiForums Tanzania Ishara 10 za manabii na mitume feki waliotapakaa Tanzania

    Wewe umeokoka..!?
Back
Top Bottom