Amefanya kila njia nizae naye

Amefanya kila njia nizae naye

Msingi mkuu: unafanya vipimo kuangalia lini yai linaachiwa/ovulation. Anafanyiwa na hormones analyaia kama yuko sawa.

Kila kitu kikiwa sawa, zinachukuliwa mbegu toka kwa mume au donor yeyote kulingana na tatizo kwa upande husika. Mbegu huoshwa kitaalamu na kuwekwa kwenye mju wa mimba na mimna kutungwa ndani ya mji wa mimba.

IVF mbegu hukutanishwa nje ya mji wa mimba, ambayo ni more complex na ghali. Ila njia poa itategemea na tatizo la msingi la wahusika pia.
Asante sana.
 
Hahaha eti sperm donor..
Yap, wapo mkuu. Unasema unata shombe/giant/etc watu wanaingia chaka kukutafutia. Kuna watu wanalipwa pia, wenye quality zao. Arusha ipo centre inafanya na DSM hapa ziko nne.
 
Namkumbuka Mh. Pombe Magufuri alikuwa anapenda kusema sisi ni Donor Kantiri
 
Usitende dhambi rafiki,mshahara wa dhambi ni mauti.
 
Wadau habari,

Mimi ni kijana wa Makamo nina maisha mazuri tu na sijaoa. Sasa kuna Dada mmoja tulikaa naye mtaani(familia zetu) baada ya muda mrefu tumeonana nae nae baada ya mimi kuhamishiwa kikazi Mwanza.

Uyo dada kaolewa na ana muda mrefu kwenye ndoa lakini hajabahatika kupata mtoto... kwa kuwa tulikuwa tunafahamiana huko nyuma basi tumekuwa marafiki wa kawaida tu.

Siku za hivi karibu amewatuma rafiki zangu kama wa nne hivi waje waniombe nizae nae.. mi nikawa nachukulia utani. Baada ya muda kupita kamtuma mdogo wangu wa kiume akiomba aje aniambie jambo lilelile. Mimi sikuchulia serious muda umepita kanivaa mwenye mkavu kaniomba nimsaidie nimpe mimba tu.

Baada ya kuhoji kuhusu mumewe , akaniambia yupo ila wamejaribu imeshindikana na mumewe ni mtu mzima. Uyo dada kuonyesha yupo serious kuna kiasi cha pesa anata kunipa (pesa ndefu), nilipo muuliza mumewe akijua kasema hawezi kujua maana siri ya mtoto ni Mama, na mumewe alisha wahi kuwa na watoto wa2 huko nyuma na mwanamke mwingine kabla ya kufunga naye ndoa. Hivyo mumewe kizazi anacho ila ndo hajui tatizo kwa nini hapati mimba.

Weekend hii amekuja na picha za nyumba anasema zinauzwa nichague aninunulie kama zawadi nikikubali kumpa mimba, tatizo mimi nafahamika kwao na uyo dada maana familia zetu zinaishi jirani.. na kitu dada anaona mimi nafanana kidogo na mume wake, hivyo hata mtoto akizaliwa hakuta kuwa na issue sana. Kumbuka mimi pia nna position nzuri tu Serikalini, nawaza hii issue mbeleni uyo mwanamke hawezi kuitumia kama siraha kwangu ya kunichafua.

Wadau naomba ushauri nile mtego na chambo wake au niendelee kupotezea, au nichukue pesa au nyumba nikamilishe mchezo na mke wa mtu?
Binafsi siwezi ruhusu mwanaume mwingine amle mwanangu.
 
Usiingie kwenye huo mtego ndugu yangu utajuta. Utafungua ukurasa ambao utakuharibia future yako yote. Ndio maana Biblia imetuonya kwamba:-

"Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake."
Amina Baba mtumishi.
 
Wadau habari,

Mimi ni kijana wa Makamo nina maisha mazuri tu na sijaoa. Sasa kuna Dada mmoja tulikaa naye mtaani(familia zetu) baada ya muda mrefu tumeonana nae nae baada ya mimi kuhamishiwa kikazi Mwanza.

Uyo dada kaolewa na ana muda mrefu kwenye ndoa lakini hajabahatika kupata mtoto... kwa kuwa tulikuwa tunafahamiana huko nyuma basi tumekuwa marafiki wa kawaida tu.

Siku za hivi karibu amewatuma rafiki zangu kama wa nne hivi waje waniombe nizae nae.. mi nikawa nachukulia utani. Baada ya muda kupita kamtuma mdogo wangu wa kiume akiomba aje aniambie jambo lilelile. Mimi sikuchulia serious muda umepita kanivaa mwenye mkavu kaniomba nimsaidie nimpe mimba tu.

Baada ya kuhoji kuhusu mumewe , akaniambia yupo ila wamejaribu imeshindikana na mumewe ni mtu mzima. Uyo dada kuonyesha yupo serious kuna kiasi cha pesa anata kunipa (pesa ndefu), nilipo muuliza mumewe akijua kasema hawezi kujua maana siri ya mtoto ni Mama, na mumewe alisha wahi kuwa na watoto wa2 huko nyuma na mwanamke mwingine kabla ya kufunga naye ndoa. Hivyo mumewe kizazi anacho ila ndo hajui tatizo kwa nini hapati mimba.

Weekend hii amekuja na picha za nyumba anasema zinauzwa nichague aninunulie kama zawadi nikikubali kumpa mimba, tatizo mimi nafahamika kwao na uyo dada maana familia zetu zinaishi jirani.. na kitu dada anaona mimi nafanana kidogo na mume wake, hivyo hata mtoto akizaliwa hakuta kuwa na issue sana. Kumbuka mimi pia nna position nzuri tu Serikalini, nawaza hii issue mbeleni uyo mwanamke hawezi kuitumia kama siraha kwangu ya kunichafua.

Wadau naomba ushauri nile mtego na chambo wake au niendelee kupotezea, au nichukue pesa au nyumba nikamilishe mchezo na mke wa mtu?
Hasara za kuolewa na wazee mithili ya kina Wasira ndio hizi. Atakupa kila kitu lakini furaha inabaki kitendawili.

Haya endeleeni.

Isije kuwa ni yule mke wa Prof Mmoja wa Tabora aliyewahi kuwa waziri wa Elimu na baadae waziri wa Ulinzi
 
Wadau habari,

Mimi ni kijana wa Makamo nina maisha mazuri tu na sijaoa. Sasa kuna Dada mmoja tulikaa naye mtaani(familia zetu) baada ya muda mrefu tumeonana nae nae baada ya mimi kuhamishiwa kikazi Mwanza.

Uyo dada kaolewa na ana muda mrefu kwenye ndoa lakini hajabahatika kupata mtoto... kwa kuwa tulikuwa tunafahamiana huko nyuma basi tumekuwa marafiki wa kawaida tu.

Siku za hivi karibu amewatuma rafiki zangu kama wa nne hivi waje waniombe nizae nae.. mi nikawa nachukulia utani. Baada ya muda kupita kamtuma mdogo wangu wa kiume akiomba aje aniambie jambo lilelile. Mimi sikuchulia serious muda umepita kanivaa mwenye mkavu kaniomba nimsaidie nimpe mimba tu.

Baada ya kuhoji kuhusu mumewe , akaniambia yupo ila wamejaribu imeshindikana na mumewe ni mtu mzima. Uyo dada kuonyesha yupo serious kuna kiasi cha pesa anata kunipa (pesa ndefu), nilipo muuliza mumewe akijua kasema hawezi kujua maana siri ya mtoto ni Mama, na mumewe alisha wahi kuwa na watoto wa2 huko nyuma na mwanamke mwingine kabla ya kufunga naye ndoa. Hivyo mumewe kizazi anacho ila ndo hajui tatizo kwa nini hapati mimba.

Weekend hii amekuja na picha za nyumba anasema zinauzwa nichague aninunulie kama zawadi nikikubali kumpa mimba, tatizo mimi nafahamika kwao na uyo dada maana familia zetu zinaishi jirani.. na kitu dada anaona mimi nafanana kidogo na mume wake, hivyo hata mtoto akizaliwa hakuta kuwa na issue sana. Kumbuka mimi pia nna position nzuri tu Serikalini, nawaza hii issue mbeleni uyo mwanamke hawezi kuitumia kama siraha kwangu ya kunichafua.

Wadau naomba ushauri nile mtego na chambo wake au niendelee kupotezea, au nichukue pesa au nyumba nikamilishe mchezo na mke wa mtu?
Kuwa makini anakutafuta damu ta kafara kwa namna anavyojua.

Swala la ugumba liko kila mahala na linaweza kjmpata mtu yeyote. Sasa hizo nguvu anazotumia ni kubwa sana na yuko aggresive.
Tena huenda yeye na mumewe wamepanga hivyo.
 
Kuna watu wana utajiri na unaishia bafuni. Si bora wawe ma-Donor Countrii tu kwa vigezo hivyo ili wenzao wapunguze msongo wa mawazo.
Ni sawa tu haina tatizo. Itapendeza sana
 
Wadau habari,

Mimi ni kijana wa Makamo nina maisha mazuri tu na sijaoa. Sasa kuna Dada mmoja tulikaa naye mtaani(familia zetu) baada ya muda mrefu tumeonana nae nae baada ya mimi kuhamishiwa kikazi Mwanza.

Uyo dada kaolewa na ana muda mrefu kwenye ndoa lakini hajabahatika kupata mtoto... kwa kuwa tulikuwa tunafahamiana huko nyuma basi tumekuwa marafiki wa kawaida tu.

Siku za hivi karibu amewatuma rafiki zangu kama wa nne hivi waje waniombe nizae nae.. mi nikawa nachukulia utani. Baada ya muda kupita kamtuma mdogo wangu wa kiume akiomba aje aniambie jambo lilelile. Mimi sikuchulia serious muda umepita kanivaa mwenye mkavu kaniomba nimsaidie nimpe mimba tu.

Baada ya kuhoji kuhusu mumewe , akaniambia yupo ila wamejaribu imeshindikana na mumewe ni mtu mzima. Uyo dada kuonyesha yupo serious kuna kiasi cha pesa anata kunipa (pesa ndefu), nilipo muuliza mumewe akijua kasema hawezi kujua maana siri ya mtoto ni Mama, na mumewe alisha wahi kuwa na watoto wa2 huko nyuma na mwanamke mwingine kabla ya kufunga naye ndoa. Hivyo mumewe kizazi anacho ila ndo hajui tatizo kwa nini hapati mimba.

Weekend hii amekuja na picha za nyumba anasema zinauzwa nichague aninunulie kama zawadi nikikubali kumpa mimba, tatizo mimi nafahamika kwao na uyo dada maana familia zetu zinaishi jirani.. na kitu dada anaona mimi nafanana kidogo na mume wake, hivyo hata mtoto akizaliwa hakuta kuwa na issue sana. Kumbuka mimi pia nna position nzuri tu Serikalini, nawaza hii issue mbeleni uyo mwanamke hawezi kuitumia kama siraha kwangu ya kunichafua.

Wadau naomba ushauri nile mtego na chambo wake au niendelee kupotezea, au nichukue pesa au nyumba nikamilishe mchezo na mke wa mtu?
Amka wewe kumekucha
 
Kwakuwa ni mke wa mtu acha ila angekuw ni mdada sio mbaya
 
Back
Top Bottom