Binafs namuunga mkono DC watu was dar wengiwao ndiowalio hatarini zaidi ya kupata maambukizi ya covd 19 na sisi wote nimashahdi wengi wa waathirika was covd ni wakazi wa dar
Hvyo siitu kuwanao makini pindi wanapoingia kwenye mikoa mingine la inapaswa wawekwe karantin vinginevyo...
Wewe ebu futa kauli yako hiyo, Nani kakwabia sisi tunalindwa na mungu kuliko wazungu!? Haya siku ya kuàmkia Leo Italia wamepona watu zaidi 2500 hao niwale wasiolindwa na mungu, Sasa wewe niambia hao wanaolindwa na mungu huko kwenu wamepona wangapi?😷😷😷😷😷😷
Ukihama na matatizo yakaendelea basi inakupasa utumie Tiba za jadi ili ujisafishe hayo mamikosi, au usione hatari kurudi nyumbani ili wazee wakuone ikibidi unatumia nafasi hiyo kupalilia makabuli ya Babu zako
Mkuu pole Sana, hayo mazingira unayoishi siyo Rafiki Sana kwako,inawezekana tatizo likawa ndani ya nyumba unayoishi au mazingira yaliyokuzunguka, suluhisho Kama umepanga kwenye hiyo nyumba basi hama lakini Kama Ni nyumba yako basi unakila sababu ya kuzindika hiyo nyumba.
Kwa mwenendo huu binafsi mapatwa na mashaka Kama kweli serkali wapo kasini au nawao wamejiweka karantini
Inatiashaka Sana ikiwa watu wanaingia nchini na wanaanza mizunguko yao bila hata kuwekewa vizuiz japo hata kwa wiki 1tu,ili serikali ijilizishe Kama watu hawa hawana maambukizi,
Hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.