Recent content by onnaawe

  1. O

    JamiiForums Tanzania Waraka Mwl Shukia kwa Mwigulu Nchemba

    Nampongeza mwl kwakuacha uwoga. Mwigulu tulimshauri siku nyingi kuwa anavyofanya sio sahihi, chakushangaza wiki hiyo hoyo akaibuka na yale yale tuliyomkaza. Ama kweli sikio la kufa halisikii dawa.Mwigulu anafikiri watanzania ni wajinga. Kijana jirekebishe.
  2. O

    JamiiForums Tanzania Thamani ya Dr. Slaa kisiasa na anguko lake kabla ya 2015

    je anachuki ya asili moyoni kuliko jk, membe etc?
  3. O

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya viongozi wa Tanzania

    mkapa wakati anastaafu mshahara wake ulikuwa tsh 9,000,000/= kwa mwezi. Sijui jk analipwa ngapi kwa mwezi. Mshahara wa rais haukatwi kodi
  4. O

    JamiiForums Tanzania How DR Congo conflict could ignite regional war(must read please) see how Tz is involved.

    wewe mwenyewe ndiyo mjinga; ukombozi wa comoro haukutumia hata risasi moja kwa jeshi la tanzania, hivyo sijui ni experience gani tumeipata. somalia majeshi yetu yameshiriki lakini tumeshindwa kuikomboa na mwisho hakuna vita waliyoshiriki wanajeshi wa tanzania sudan zaidi ya kulinda amani na...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Tamko la UVCCM Arusha juu ya Husein Bashe na Lema

    asante kwa maelezo mazuri. Picha ya video inaonyesha kuwa mwakilishi wa makamu mkuu wa chuo alikuwepo wakati lema anahutubia. Pili, mbunge naye ni kiongozi akiwa katika eneo lake, anapohitaji kuwaona watu wake hahitaji kibali toka kwa mkuu wa mkoa, au kwa vile ni wa chadema? Tatu, watanzania...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Polisi wamsaka aliyerekodi mkanda wa video sakata la Lema

    HIVI IN LINI WATAMTAFUTA NA KUMKAMATA ALIYEREKODI VIDEO YA LWAKATARE? au HAWAJAELEKEZWA NA MWIGULU NA TISS KUFANYA HIVYO
  7. O

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe azidi kupigilia msumari wa ncha 20 kwenye jeneza la CCM...

    chama chako we na nani? Hii ndiyo tabia ya watu wahuni, wenye mtazamo na fikra finyu sana. Nampongeza sana ndugu yangu Bashe ameonyesha mawazo tofauti na ukomavu wa kisiasa pia. Watanzania tulio wengi tuna tabia mmoja kuwa unapokosoa inaonekana kama umetumwa na adui (mfano chadema, ccm...
  8. O

    JamiiForums Tanzania Bungeni: JJ Mnyika azidi kuonyesha udhaifu wa Serikali ya CCM

    Wazee wa busara ni mama na baba yako na babu pia kama yupo
  9. O

    JamiiForums Tanzania Mwigulu, CCM hili mnalijua kweli?

    hivi hili fisadi m23 likoje?. Inaonekana halina akili kwani mawazo yake ni yawale wanaotumia akili za kuambiwa
  10. O

    JamiiForums Tanzania Mwigulu, CCM hili mnalijua kweli?

    Hivi wewe ni fisadi gani? Ni nape au ni mwigu mwenyewe? Mbona nchi mnakula wenyewe? Wenzenu tuna njaa tunashindia mlo mmoja tu, mtuonee huruma jamani mafisadi!
  11. O

    JamiiForums Tanzania PICHA: Yaliyojiri katika mkutano wa CHADEMA Mbeya - Aprili 24, 2013

    we jinga unamaanisha wanaoshabikia CHADEMA ni walevi wasioweza hata kupiga kura? Hata wakiwa walevi bado ni watanzania tu! Unamaanisha kuwa Watanzania hawanywi pombe mikutano ya CHADEMA isipofaanyika? Pia ni heri kuwa na makengeza ya mach kuliko kuwa na kagengeza ya akili, maana makengeza ya...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Walimu kugoma tena

    Nyumbu ni wewe na mama yako
  13. O

    JamiiForums Tanzania Walimu kugoma tena

    HASSAH SHEIN: Nyumbu ni wewe na mama yako, ila walimu hawawezi kuwa nyumbu.
  14. O

    JamiiForums Tanzania Walimu kugoma tena

    Thatha: Mpuuzi mkubwa wewe, toka lini migomo TZ huratibiwa na CDM? au ni kauli ya mfa maji haachi kutapatapa? Migomo ya walimu huratibiwa ya CWT na sio vinginevyo! Acheni uchochezi na hisia za kipumbavu. Ni kawaida sasa kwa serikali na wanaonufaika udhalimu wa serikali hii kutafuta mchawi kwa...
Back
Top Bottom