Walimu kugoma tena

Walimu kugoma tena

Ila mimi napingana Kabisa na Aproach inayo tumiwa na walimu Kugoma, Kwa nini wasiige wenzao wa Kenya? Walimu wa Keny wao wanapambana na Serikali yao na si kuwafelisha watoto kwa sababu wanajua Madhara yake kwa baadae na itakuja kuwrudi wenyewe,

Walimu wa Bongo ni waoga Mno, na swala la Kufelisha watoto halikubaliki kamwe, ni kwa nini Msigome live?

Unamaanisha nini unaposema kuwa walimu tunawafelisha watoto?....Hivi wewe kama mwalimu haingii darasani kufundisha kwa maana ya kugoma watoto/wanafunzi watapata wapi usaidizi katika mchakato wa kujifunza?..Je,akifanya mtihani wake na ku-fail nani atalaumiwa......sisi walimu,serikali,wanafunzi au wadau wote kwa ujumla?...Na unapotafakari kujibu maswali hayo nikuulize pia kuwa, kwani ni jinai kutumia njia ya MGOMO kutaka kusikilizwa au kudai haki?..Kama jibu lako ni siyo basi walimu tusilaumiwe tu kwa watoto/wanafunzi kufeli. Zipo sababu za hili na sababu kuu ni serikali yenyewe na ninyi wadau wa nchi hii na elimu kwa ujumla.....hamuwathamini walimu,hamuwaungi walimu wanapodai mazingira bora ya kazi,mishahara bora inayoendana na hali halisi ya uchumi na maisha

Lastly,umesema tutumie approach ya walimu wa Kenya,...ni ipi na ikoje hiyo?..Kwa sababu tunavyofahamu sisi walimu wa Tanzania ni kuwa approach ya walimu wa Kenya ni hiihii ya MGOMO.Tofauti ya mgomo wao na huu wa kwetu ni kuwa serikali yao haikutumia mbinu za kipuuzi za kukimbilia mahakamani eti kulazimisha walimu kufundisha kama kinachofanyikaga hapa TZ.

Mimi natupa lawama zangu moja kwa moja kwa CWT ambacho ni chama chetu walimu kwamba huwa hawapo makini katika kuandaa migomo hasa wanapokuwa mametumia njia zote za kupata suluhisho la madai yetu kwa serikali ya CCM na yenyewe kutosikiliza.Nina hisia pia kuwa viongozi wetu wa CWT huwa wanahongwa na serikali kupeleka mambo ndivyo sivyo.We ona saa hii wamekaa tu badala kutumia muda huu wa bunge la bajeti kushinikiza haya mambo!!.KUFELI KWA WANAFUNZI WALIMU TUSILAUMIWE MOJA KWA MOJA.....ILAUMIWE SERIKALI YA CCM NA SERA ZAKE MBOVU NA DHAIFU ZISIZOJALI NA KUMTAMBUA NA KUTHAMINI ELIMU NA MWALIMU:....Rejea mjadala wa hoja binafsi ya Mbatia na jinsi serikali ya CCM ikitumia wabunge wake walio wengi bungeni kuipuuza hoja hiyo na kuitupilia mbali....huo ni ushahidi tosha kwamba CCM haijali ni kirusi kibaya cha matatizo yote katika nchi yetu!!!....I am a Teacher and I'm ready to strike any time no matter what!!.....na Kamwe wasiwasingizie CHADEMA katika hili
 
kwani hiyo migomo waliyowahi kufanya imekuwa na manufaa gani kwako!!!
 
Walimu wa Tanzania sio waoga tofauti kati ya walimu wa kenya na Tanzania ni moja kubwa. Chama cha walimu kenya kinaweza kuwalipa walimu wote mishahara na posho zao zaidi ya mwaka wanapokuwa kwenye mgomo. Hivyo CWT kingekuwa kinaweza kuwalipa walimu mishahala pindi wanapokuwa kwenye mgomo mbona watanzania wangeipenda. Walimu wote wangelala nyumba bila uogo, kwani mwisho wa mwezi wangekinge free.
 
Mahakama ya kazi imekataza migomo.
Tanzania ni maajabu ya dunia.
 
Mgomo wa walimu huu wa kufelisha ni mbaya afadhali wagome live hii kimyakimya stail mbayasana wakuu hawakai nyumbani shuleni hawafundishi ipi mbaya. Inaniuma sana 63%
 
wajinga wantuzuga hawa, kuna mtu anataka kuchaguliwa hapo CWT kwahiyo anafikiri akileta KUNJI ndio watamchagua na kuendelea kula yale mabilioni.
 
Thatha: Mpuuzi mkubwa wewe, toka lini migomo TZ huratibiwa na CDM? au ni kauli ya mfa maji haachi kutapatapa? Migomo ya walimu huratibiwa ya CWT na sio vinginevyo! Acheni uchochezi na hisia za kipumbavu. Ni kawaida sasa kwa serikali na wanaonufaika udhalimu wa serikali hii kutafuta mchawi kwa kila kinachotokea.
 
HASSAH SHEIN: Nyumbu ni wewe na mama yako, ila walimu hawawezi kuwa nyumbu.
 
Mh.Kigola,mbunge wa mufindi kusini kama hutatimiza ahadi ulizoahidi katika kampeni zako 2010 hutazitekeleza kama vile kufunga bomba za maji katika kijiji cha kiponda, basi wananchi wataamua kumtafuta mbunge ambaye atajali matatizo yao. Ukiwa bungen kazi yako ni kujadili mambo mengine na si ya wananchi wako waliokutuma, wataalamu walichimba vile visima kwa takriban miaka mitatu, lakini kuna tatizo gani kuja kufunga zile pambu za kuvuta maji? ccm kama hamna taarifa hizi basi jimbo hili linaondoka mikononi mwenu.
 
Back
Top Bottom