PICHA: Yaliyojiri katika mkutano wa CHADEMA Mbeya - Aprili 24, 2013

Ee Mola wetu walinde makamanda hawa dhidi ya yule mwovu wasira mng'oa kucha na anayejifanya hii tz ni mali yao na masisiem wenzake wachache!!!
Hakika ukombozi upo karibu....
 
sasa na wewe hiyo kazi yako yakutembeza mbege akufukuze nani,uwanja umejaa vipakiti vya viroba vilivyotumika hata hawajui makengeza na wapambe wake waliongea nini

we jinga unamaanisha wanaoshabikia CHADEMA ni walevi wasioweza hata kupiga kura? Hata wakiwa walevi bado ni watanzania tu! Unamaanisha kuwa Watanzania hawanywi pombe mikutano ya CHADEMA isipofaanyika? Pia ni heri kuwa na makengeza ya mach kuliko kuwa na kagengeza ya akili, maana makengeza ya akili ndiyo iliyoifikisha inchi hii hapa ilipo, hata wageni wanaingia msituni kuwinda na kuchimba madini bila vibali
 
Sasa na wewe hiyo kazi yako yakutembeza mbege akufukuze nani,uwanja umejaa vipakiti vya viroba vilivyotumika hata hawajui makengeza na wapambe wake waliongea nini
Duh, hii kweli ndiyo JF. Hahahaaa! Poleni sana CCM. Hapo hapakuwa na Diamond wala ze comedy. na zaidi ya yote hakuna aliyeletwa na roli wala kununuliwa wali. Badala yake wananchi wapenda mabadiliko walikichangia chama. Wewe endelea tu kuota viroba! Kalaga baho!!!
 
hiki chama kinanifurahisha mpaka natamani ku reveal my true name. KWELI CHADEMA INAPENDWA KUNA CKU ME NITASHINDWA KUFCHA MAHABA YANGU KWENYE HIKI CHAMA POTELEA MBALI HATA WANIFUKUZE KAZI.

Simu yangu ingekua na kitufe cha LIKE ningekugongea,lakini tupo pamoja kamanda.
 
hiki chama kinanifurahisha mpaka natamani ku reveal my true name. KWELI CHADEMA INAPENDWA KUNA CKU ME NITASHINDWA KUFCHA MAHABA YANGU KWENYE HIKI CHAMA POTELEA MBALI HATA WANIFUKUZE KAZI.
Ha haa haaa!
Wapi @Nape jr?

Mkuu
Umeniacha hoi.
Lakini we mtumikie kafiri ili upate mradi wako...kura yako unajua mwenyewe pa kuiweka.
 
kwani kwenye bustani ya edeni,haliye danganywa na nyoka ni nani,hadam,au hawa,kwani hiki chama jina lake sini magamba,magamba maana yake ni nyoka au shetani au danganyae ulimwengu,

Mkuu rudi darasanì ukajifunze lugha yako ya taifa(Kiswahili).Unatia aibu bana.
 
hiki chama kinanifurahisha mpaka natamani ku reveal my true name. KWELI CHADEMA INAPENDWA KUNA CKU ME NITASHINDWA KUFCHA MAHABA YANGU KWENYE HIKI CHAMA POTELEA MBALI HATA WANIFUKUZE KAZI.

Umenifurahisha sana, hata mimi naipenda CDM kutoka moyoni, lakini mazingira yangu ya kazi ni ngumu sana wakikujua tu, wanakufanyia fitina na hata kuundiwa zengwe.
 
Gaidi jipya halijajitokeza huko.Manake kila siku mnafundisha watu ugaidi.Yule wa Arusha polisi wanamtafuta ijapokua kapewa siku tano lakini ameshaharibu Njiro

Tulia kijana umeshapakatwa wacha mikono itamalaki juu ya mwili wako. Kibaraka wenu kaenda kuongea UHARO uko Njiro vijana wakmdisplini. Acha jazba.
 


Yaani sasa hivi kila kukicha Chadema ni mikutano ya hadhara tena siku za kazi badala ya kuwapa watu nafasi wafanye kazi ili wapate rizki zao za halali. Halafu mkitoka hapo manalalamika umaskini, kumbe nyinyi wenyewe ndio major reason ya umasikini. Utapigana vipi na umasikini kama hufanyi kazi????
 
Back
Top Bottom