kwa nini polisi wanashikwa na kigugumizi kuwakamata?unataka kusema polisi hawawajui?
Jeshi la Polisi ni makini sana. Kwani lilichukua muda gani kuwabaini wauaji wa kamanda Barlow?
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
kwa nini polisi wanashikwa na kigugumizi kuwakamata?unataka kusema polisi hawawajui?
wanaotoboa macho,kutoa kucha,kubana mbavu na kuvunja,kung'oa meno na nk ni wanausalama wa chadema ambao slaa anadai wako makini kuliko tiss.kwa sababu tiss tulikuwa nao tangu zamani na hayamambo hayakuwepo yameanza pale rwakatale alipo teuliwa
Hapa una 7, 000 yako saafi....
hiki kitu siku hizi hakipondugu wana jamvi,
kwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia siasa zetu,na matukio yanayojitokeza kila siku nchini,hasa kwa vyama hivi viwili, tawala(ccm) na upinzani(chadema),
sasa hivi kuna matukio yanafanyika mpaka unajiuliza kuwa kuna serikali kweli katika nchi hii,na kama ipo mbona kimya? Watu wana uwawa, wanatekwa na kuteswa, mikataba hovyo, ardhi inauzwa kwa kisingizio cha uwekezaji, rasilimali kama madini, mafuta na gesi wanajimilikisha wachache, elimu bomu, hospitali hakuna kama ipo madawa hakuna ,wanyama wanaisha, deni la taifa linakua kila uchwao na hakuna wakusema pesa zimeenda wapi, maofisa wa ikulu nao wanapiga dili safari za rais na mengine mengi, ila serikalini hakuna anayefanya tendo la kuthubutu hata kumfunga paka kengele.
Hapa sasa ndiyo nikasema niipitie kidogo katiba ya chama tawala nione labda kuna kipengele kinachoruhusu yote hayo na mengine mengi.
Lakini sasa chakushangaza hata kabla ya kufika mbali na kuisoma kwangu nakutana na haya.
Katiba ya ccm.
Sehemu ya kwanza.
Aya 4;ccm inaamini kuwa.
1;binadamu wote ni sawa.
2;kila mtu anastahili heshima na kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake.
3;ujamaa na kujitegemea ndiyo njia pekee ya kujenga jamii ya watu walio sawa na huru.
Unaweza kuisoma katiba hii ya ccm sehemu ya kwanza tu kuanzia namba 1 hadi 19, na ukahisi kuwa viongozi wa serikali hawajui katiba ya chama chao,maana wangekuwa wanaijua naamini wangeisimamia kama siyo kuilinda.
Labda niwakumbushe mwigulu na ccm kuwa, katiba hiyo hiyo,
nyongeza "a"
ahadi za wanachama wa chama cha mapinduzi(ccm).
1;binadamu wote ni ndugu zangu na afrika ni moja.
2;nitatumikia nchi yangu na watu wake wote.
3;nitajitolea nafsi yangu kuondoa umaskini,ujinga,magonjwa na dhuluma.
4;rushwa ni adui wa haki,sitopokea wala kutoa rushwa.
5;cheo ni dhamana,sitatumia cheo changu,wala cha mtu mwingine kwa faida yangu.
6;nitajielimisha kwa kadri ya uwezo wangu na kuitumia elimu yangu kwa faida ya wote.
7;nitashirikiana na wenzangu wote kujenga nchi yetu.
8;nitasema ukweli daima,fitina kwangu mwiko.
9;nitakuwa mwanachama mwaminifu wa ccm na raia mwema wa tanzanania na afrika.
Mimi.
Kama kweli sijakosea haya maandishi yanatoka kwenye katiba ya ccm, mbona hawayasimamii? Au hawajui kama yapo? Au wanajisahaulisha?
Nb.
Ni mara ya kwanza kwangu kuweka mada jamvini, ushauri kukosoa maoni kwa wenye mapenzi mema na nchi hii, nawasilisha.
AHADI ZA WANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI(CCM).ZA SASA NI HIZI HAPA.
1;Binadamu wote SI ndugu zangu na Afrika ni moja.
2;Nitatumikia nchi yangu na watu wake wote NIPATE CHANGU.
3;Nitajitolea nafsi yangu KUIMALISHA UMASKINI,UJINGA,MAGONJWA na DHULUMAILI NIPATE KUWATAWALA
4;RUSHWA ni SI adui wa HAKI,NITAPOKEA NA kutoa RUSHWA.
5;Cheo SI dhamana,NITATUMIA cheo changu,NA cha mtu mwingine kwa faida yangu.
6;Nitajielimisha kwa kadri ya uwezo wangu na kuitumia elimu yangu kwa faida YANGU.
7;Nitashirikiana na MAFISADI kujenga nchi yetu.
8;SITASEMA UKWELI DAIMA,FITINA kwangu NI HARALI.
9;Nitakuwa mwanachama mwaminifu wa CCM na Raia MBAYA wa Tanzanania na Afrika.
KAMA UNABISHA KAJINYONGE
Ndg yangu umeandika mambo mengi sana na tena mazuri yote ila kaa ikijua Tanzania kwa sasa haina mwenyewe na kama wapo bac bado wako mbali wanakuja, ila tuendeleze harakati maana harakati lazima zianze sasa, haya matukio unayaona sasa ndio kwanza yanaanza yatatokea mengi ya ajabu wengi watawekwa kizuizini na wengi pia watapoteza maisha hapo ndipo neno UKOMBOZI litakapotimia
Hizi zilikuwa ahadi za mwana TANU under the late Mwalimu. Kwa sasa ni umafia-mafia, undava - undava - survive for your own fitness, huwezi umeumia.
kweli aliyeweka hii mada,imebadilika kuwa msumari kwa Magamba,naomba mmoja au hata mama TIBAIJUKA atueleze kama haya huwa yanazungumziwa kwenye vikao vyao vya CC au ni kutafuta jinsi ya kuimaliza CDM?
mwigulu, CCM, Wote wamepoteza mwelekeo!Ndugu wana jamvi, Kwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia siasa zetu,na matukio yanayojitokeza kila siku nchini,hasa kwa vyama hivi viwili, TAWALA(ccm) na UPINZANI(Chadema), Sasa hivi kuna matukio yanafanyika mpaka unajiuliza kuwa kuna SERIKALI Kweli katika nchi hii,na kama ipo mbona kimya? Watu wana uwawa, wanatekwa na kuteswa, mikataba hovyo, ardhi inauzwa kwa kisingizio cha uwekezaji, Rasilimali kama madini, mafuta na gesi wanajimilikisha wachache, Elimu bomu, hospitali hakuna kama ipo madawa hakuna ,wanyama wanaisha, deni la taifa linakua kila uchwao na hakuna wakusema pesa zimeenda wapi, maofisa wa Ikulu nao wanapiga dili safari za rais na mengine mengi, ila serikalini hakuna anayefanya tendo la kuthubutu hata kumfunga paka kengele. Hapa sasa ndiyo nikasema niipitie kidogo katiba ya Chama tawala nione labda kuna kipengele kinachoruhusu yote hayo na mengine mengi. Lakini sasa chakushangaza hata kabla ya kufika mbali na kuisoma kwangu nakutana na haya. KATIBA YA CCM. SEHEMU YA KWANZA. Aya 4;CCM Inaamini kuwa. 1;BINADAMU WOTE NI SAWA. 2;KILA MTU ANASTAHILI HESHIMA NA KUTAMBULIWA NA KUTHAMINIWA UTU WAKE. 3;UJAMAA NA KUJITEGEMEA NDIYO NJIA PEKEE YA KUJENGA JAMII YA WATU WALIO SAWA NA HURU. Unaweza kuisoma katiba hii ya ccm Sehemu ya kwanza tu kuanzia namba 1 hadi 19, na ukahisi kuwa viongozi wa serikali hawajui katiba ya chama chao,maana wangekuwa wanaijua naamini wangeisimamia kama siyo kuilinda. Labda niwakumbushe Mwigulu na CCM kuwa, katiba hiyo hiyo, NYONGEZA "A" AHADI ZA WANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI(CCM). 1;Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja. 2;Nitatumikia nchi yangu na watu wake wote. 3;Nitajitolea nafsi yangu kuondoa UMASKINI,UJINGA,MAGONJWA na DHULUMA. 4;RUSHWA ni adui wa HAKI,sitopokea wala kutoa RUSHWA. 5;Cheo ni dhamana,sitatumia cheo changu,wala cha mtu mwingine kwa faida yangu. 6;Nitajielimisha kwa kadri ya uwezo wangu na kuitumia elimu yangu kwa faida ya wote. 7;Nitashirikiana na wenzangu wote kujenga nchi yetu. 8;Nitasema UKWELI DAIMA,FITINA kwangu MWIKO. 9;Nitakuwa mwanachama mwaminifu wa CCM na Raia mwema wa Tanzanania na Afrika. Mimi. Kama kweli sijakosea haya maandishi yanatoka kwenye katiba ya CCM, mbona hawayasimamii? Au hawajui kama yapo? Au wanajisahaulisha? NB. Ni mara ya kwanza kwangu kuweka mada jamvini, ushauri kukosoa maoni kwa wenye mapenzi mema na nchi hii, nawasilisha.
mwigulu, CCM, Wote wamepoteza mwelekeo!
Kwanza nimesikia malalamishi juu ya huyu mwingulu mchemba kwa wabunge na watu wa kawaida kwamba huyu jamaa ananuka mdomo, so huenda akipiga mswaki hasugui ulimi, au ana tatizo la kunuka mdomo.so ajipime mwenyewe ajirekebishe.
AHADI ZA WANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI(CCM).ZA SASA NI HIZI HAPA.
1;Binadamu wote SI ndugu zangu na Afrika ni moja.
2;Nitatumikia nchi yangu na watu wake wote NIPATE CHANGU.
3;Nitajitolea nafsi yangu KUIMALISHA UMASKINI,UJINGA,MAGONJWA na DHULUMAILI NIPATE KUWATAWALA
4;RUSHWA ni SI adui wa HAKI,NITAPOKEA NA kutoa RUSHWA.
5;Cheo SI dhamana,NITATUMIA cheo changu,NA cha mtu mwingine kwa faida yangu.
6;Nitajielimisha kwa kadri ya uwezo wangu na kuitumia elimu yangu kwa faida YANGU.
7;Nitashirikiana na MAFISADI kujenga nchi yetu.
8;SITASEMA UKWELI DAIMA,FITINA kwangu NI HARALI.
9;Nitakuwa mwanachama mwaminifu wa CCM na Raia MBAYA wa Tanzanania na Afrika.
KAMA UNABISHA KAJINYONGE
mkuu.
Kwenye mnakasha wa moto kama huu usitegemee kuwakuta wale jamaa kina ritz. Wao wameambia "nendeni jf mkajibu mapigo" hivyo vifungu vya katiba wao hawavijui.
hivi hili fisadi m23 likoje?. Inaonekana halina akili kwani mawazo yake ni yawale wanaotumia akili za kuambiwa
Hivi wewe ni fisadi gani? Ni nape au ni mwigu mwenyewe? Mbona nchi mnakula wenyewe? Wenzenu tuna njaa tunashindia mlo mmoja tu, mtuonee huruma jamani mafisadi!