Recent content by Onlymee

  1. Onlymee

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mashuti ya nini
  2. Onlymee

    Mbinguni sio salama, ni propaganda tu!

    Nashukuru kwa uelewa wako Ila imeelezea Sana kutokana na historia ya biblia.... Kwenye Uislam. Ulivyoelezea kuumbwa Adam Eden Garden #NABII ADAM. Allah, Kitu cha kwanza kukiumba ulimwenguni ni Qalam ambayo ameiumba kwa ajili ya kuandika mema na maovu ya viumbe. . Aliumba Lauhul-Mahfuudhna...
  3. Onlymee

    Je, mitume na manabii waliopita kabla ya yesu na Muhammad walikuwa dini gani?

    Dini ilikuwa kabla ya MUHAMMAD (s.a.w) Yeye alikuja na ujumbe tumuabudu Mungu mmoja
  4. Onlymee

    Je, kwanini Jerusalem kuna vurugu kuliko Makka?

    Unasema vatcan hao mitume wenu walitokea vatcan? Au Ni biblia ndi imeandikiwa uko wakaamishia kila kitu huko.. penda Sana kusoma usitoe elimu usiyo na uhakika nayoo
  5. Onlymee

    Je, kwanini Jerusalem kuna vurugu kuliko Makka?

    Uislam unafata maandiko ya Qur'an na Hadith za Mtume Muhammad (s.a.w) nje ya hapo hakuna
  6. Onlymee

    Je, kwanini Jerusalem kuna vurugu kuliko Makka?

    Sasa uislam utaanzaje kwa MUHAMMAD (s.a.w) wakati mitume wote waliotumwa dunia ilikuwa Ni kazi moja kuwa tumuabudu Mwenyezi Mungu bila kumshirikisha na uislam ndivyo ilivyo Nabii Mussa(a.s) alipoenda kupokea torati (wakristo wanasema amri kumi) alivyorudi alikutwa wametengeneza ndama na...
  7. Onlymee

    Dini ya Kiislam yenye mfumo wa Kipentekoste yaja

    Uislamu ndio dini ya maumbile bila ya makindano. Yaani Uislamu ndio mfumo wa maisha unaokwenda sambamba na maumbile ya mwanadamu na ulimwengu wake. Kwa mantiki hii tunaweza kusema kwa kinywa kipana kabisa kwamba Uislamu ndio dini ya jamii ya wanadamu. Uislamu haukuitwa dini ya jamii ya...
  8. Onlymee

    Dini ya Kiislam yenye mfumo wa Kipentekoste yaja

    Laiti ungemjua huyo unayemtaja usingemtaja ovyoovyo....
  9. Onlymee

    Dini ya Kiislam yenye mfumo wa Kipentekoste yaja

    Mwenyezi Mungu akusamehe
  10. Onlymee

    Hivi kuna uhusiano gani wa Muziki wa taarabu na dini ya Kiislam?

    Wamependa kuimba Ila hauna uhusiano wowote na Dini.. Tena kuimba Ni Haram hairuhusiwi Ni wao tu na kupenda ya dunia
Back
Top Bottom