Recent content by ONJO

  1. ONJO

    Kafulila: Hii ndio dhana halisi ya Rais Samia kufungua nchi, Leo biashara ya nje imekua kutoka Trilioni 47 Mwaka 2021 mpaka Trilioni 87 mwaka 2024

    Giza limekutawala, ndiyo maana unaona sawa kujilinganisha na wengine. Kwanza ushawahi kudaiwa? Ukinijibu tunaweza kuongelea deni la taifa
  2. ONJO

    Kafulila: Hii ndio dhana halisi ya Rais Samia kufungua nchi, Leo biashara ya nje imekua kutoka Trilioni 47 Mwaka 2021 mpaka Trilioni 87 mwaka 2024

    Ahsante Kwa taarifa. Lakini Mimi nakuambia hakuna Samia mwingine patikana, maana alikuwepo Nyerere,Je Kuna Nyerere mwingine alishawahi kutokea? Ndugu zangu Ili familia iendelee lazima isiwe na madeni.Kwasababu Kama itaendelea kudaiwa Kuna siku nyumba za familia zitapigwa mnada. Kwa Tanzania...
  3. ONJO

    Wakatoliki boresheni Ibada zenu

    Jiunge na jumuiya ndogondogo watakutambua,huko uliko
  4. ONJO

    Wakatoliki boresheni Ibada zenu

    Usisubiri kujulikana na watu,Acha dhambi zako ujulikane kwa Mungu.
  5. ONJO

    Tanzania ya leo

    Naamu naamini hivyo
  6. ONJO

    Tanzania ya leo

    Tanzania ya leo Ni nchi ya amani kusifiwa inastahili. Nilitazama duniani kote kuangalia siasa za kweli, sikuona isipokuwa Tanzania. Kwa misingi ya Ujamaa Tanzania ilijengwa. Mwalimu Nyerere uishi mpaka wakati usio na kipimo. Hakika ulitukuka, kila mtoto anayezaliwa anasikia habari zako. Naamu...
  7. ONJO

    Kwanini Mungu hakumuumba mwanaume akiwa ametahiriwa?

    Whatch therefore for you don't the hour, When the son of Man is coming.that day Many of you will say jesus is reborn for the second time,but indeed I will deliver no answer.all deafs will hear,lames will walk,dumps will speak and many people will be filled with joy.
  8. ONJO

    Kwanini Mungu hakumuumba mwanaume akiwa ametahiriwa?

    I speak what I know, indeed I have a plan I will wait for you to join my plan. 🙏🙏🙏🙏 All being are mine.
  9. ONJO

    Kwanini Mungu hakumuumba mwanaume akiwa ametahiriwa?

    Yeah I can prove by using philosophical argument, doubtless teaching, People are followers of Jesus bcoz they find no doubt in his teaching.the same to Budha and the same to prophet Mhamadi, people find no doubt in Quran. Everything has its own time Pray that your eyes one day sees my...
  10. ONJO

    Kwanini Mungu hakumuumba mwanaume akiwa ametahiriwa?

    I believe in God as the Bible says taste and see that God is good.,🙏🙏🙏🙏 In this I can speak with my Lord And every thing with my Lord. Can a wicked man speak with God? Can the wicked man prove the existence of God? Unless he wash himself from sinners. There is God because I create myself in my mind.
  11. ONJO

    Kwanini Mungu hakumuumba mwanaume akiwa ametahiriwa?

    Don't rely on assumption,put yourself to the test.whether there's God or not.copying the ideas of others is none sense but what is your ideas about God?
  12. ONJO

    Kwanini Mungu hakumuumba mwanaume akiwa ametahiriwa?

    Hahaaaaaaaa,mbingu na dunia aliziumba,asahau kitu kidogo Kama hicho.Mungu aliumba akamaliza tunayo kazi ya kujiumba kuwa Kama yeye Mfano Yesu alijiumba akawa Kama Mungu.
  13. ONJO

    Wakatoliki mliokwazika na tamko la Papa jiungeni na kanisa aliloanzisha Padre Martin Luther la Lutheran msikae bila kusali

    Mgekuwa mnasoma maandiko ?mngekuwa mmeshamwelewa papa anasema Nini maana imeandikwa usihukumu usije ukahukumiwa,,the pope is right.
Back
Top Bottom