Ila umesahau kua.. Ili upate kitambulisho kuna vielelezo vingi sana utaitajika kupeleka ili kuthibitisha uraia wako. Pia sidhani kama wanaweza kukupatia NATIONAL ID ikiwa kama wanatilia shaka uraia wako
Maisha ni vile unavyo yatazama..
Jambo lolote ili ulifanikishe vizur inatakiwa na ina kupasa upitie changamoto nyingi zaidi na ujifunze kwazo. Ili siku uki simama katka hilo unakua imara kama chuma
Kumbuka kutogawa ushindi katika jambo lolote lile. Kama mwanzo ulitazamia kua na ndoa imara na...
Kukosea kuoa. Ni pale unakua na mtu katka mausiano kwa mda mrefu bila kuona baadhi ya tabia alizonazo aidha kwa kuzificha au wewe mwenyewe kutokua makini katika hilo ambazo ni ngumu kwake kuziacha. Unakuta umeoa/olewa mtu ambaye kabla alikua ameficha tabia fulani ambazo hana uwezo au hayupo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.